Mr president ahadi ni deni-1

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Katika ziara mkoani Kilimanjaro rais alihaidi Computers kwa kila shule ...Kama picha inavyoeleza wadogo zetu WAMEKAA wana subiri.


dawati.jpg

Shule jijini Dar es Salaam
 
Katika ziara mkoani Kilimanjaro rais alihaidi Computers kwa kila shule ...Kama picha inavyoeleza wadogo zetu WAMEKAA wana subiri.


dawati.jpg

Shule jijini Dar es Salaam
Haya ndo maisha bora kwa kila Mtz. Madawati yanamshinda itakuwa computer?? Jk bana.
 
What is more expensive? Dawati or Computer? Kama jibu unalo awape kwanza kilicho cheap.
 
Tena alisema ndani ya miaka mitatu ijayo na sasa tumeshamaliza mwaka...niliipata vizurio sana ile na niliianzisha thread kabisa hapa hapa kuwa bana mkuba anatuongopea.........
 
Hii kali, ****** anatakiwa acheck hizi picha then arudi kwenye ahadi. Bonge la kichekesho kwa wadanganyika wenzangu
 
Mkuu ni bora ufute kama mimi! Kwangu mimi dr slaa ndo aliniahidi but huyu namsamehe kwa kila jambo!
 
Raisi yupi?? huyu mbongoflavor? inasikitisha sana kuona hali hii yani! madawati watoe vodacom majengo wajenge vodacom, hivi hizo computer alizokuwa anaahidi ataziwasha na umeme upi?

:frusty: Utadhani tupo kwenye nchi ya kusadikika vile ...eti elimu kwa njia ya masafa kupitia internet ?????? kila mwanafunzi computer!!!

.................
 
hela za semina elekezi zingetosha kununua madawati ya hii shule nzima..!!!!
 
hela za semina elekezi zingetosha kununua madawati ya hii shule nzima..!!!!

kwani viongozi wanaelekezwa kipi wasichojua au ni njia ya kugawana hela kwa kisingizio cha semina? ooo wadanganyika chukueni chenu mapema kabla ya 2015
 
Hizo computer wataziweka chini watoto watakuwa wanalala kwenye vumbi wanapofundishwa namna ya kuzitumia! Hawa Magamba wanashindwa hata kukumbuka ahadi walizotoa! Ndio sababu Haki Elimu wana lile tangazo lao la mwalimu anafundisha somo la computer kwa kuchora picha ubaoni "HII NDIO SIPIYUU".
 
Mitanzania ndivto mlivyo!!!!!!!!!!!!...........mwanzoni mliahidiwa maisha bora kwa kila mtz mkapiga mikofi na vicheko mpaka matumbo yakafula kwa njaa baada ya miaka mitano rais mwenyewe hataki hata kusikia kauli yake hiyo ya awali kwani naye ameamini hiyo ahadi inaweza kutolewana mungu tu......mkasahau na mnaendelea tena kusikiliza upuuzi na kugawa kura
 
Kama 60% ya bajeti ya serikali inategemea wahisani,unadhani tutaweza kusonga mbele? Hapa ni kukubali maumivu tu kwa kuwa wahisani wako interested na mambo yenye manufaa kwao tu.
 
Mbona kila siku anajaza ndege mafuta?si angesaidia haya????aghhhhhhhhhhhhhhhh ovyoooo
 
Haya ndo maisha bora kwa kila Mtz. Madawati yanamshinda itakuwa computer?? Jk bana.

Wazazi nao si wajitoe kuchangia madawati wanashindwa nini? Kukizingatia wengi wao kama siyo waajiriwa hata mapato yao ya dei waka hawalipiii kodi yoyote
 
katika ziara mkoani kilimanjaro rais alihaidi computers kwa kila shule ...kama picha inavyoeleza wadogo zetu wamekaa wana subiri.


dawati.jpg

shule jijini dar es salaam

naomba msinilazimishe kuamini hichi kitendo ..

nacho amini mimi ;nikuwa hichi ni kipindi cha dini wanaosujudu ni muslims na waliokaa ni christians sema upungufu wa madarasa ndiyo maana maimum na wachungaji wameungana kwenye darasa hili.. Msiogope ni kipindi cha dini
 
Hii nchi inaongozwa na wasio waTz, Let us join our hands to kick them out! :grouphug:
 
Back
Top Bottom