Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

watu wa dta za watu...
nadhani kova kuna wadau wanamfahamu haya zaid ya
yeye anvyojifahamu...
 
Huyu mpumbavu mwenye jicho la kondoo huwa hatumii akili yake, nadhani yule kondoo mwenye jicho ambalo huyu lofa kawekewa analaani na analalamika sana huko alipo...
 
Ukishughulika na mapsychomoter utapata shida sana.mwacheni ataacha mwenyewe huo uzezeta wake
 
Nakumbuka Siku Alifanya Maamuzi Ya Kipuuzi Akiamulisha Askari Wawakamate Waumini Waliokuwa Katika Mkesha Wa Maombi, Kisa Jamaa Mmoja Wa Kabila Lake Yuko Jilani Na Hilo Kanisa Ite Wanampia Kelele Waumini Walilala Kituoni Mpaka Sim Ilivyotoka Kwa Said Mwema
 
Cybercrime inakuhusu MPUMBAVU NYUMBU LOFA mkubwa wewe

nadhani ujui maana ya cybercrime c kila m2 anachoandika kinaweza kuwa cybercrime na kama m2 kujieleza ni cybercrime basi na ww umeshatenda kosa ilo kumbuka kuna cybercrime na cyberbullying
 
Ww unatoa kauli hii kama kada wa chama kipi??? acha polis ilinde usalama wetu..

usalama gani unaolindwa na policcm? Labda usalama wako na mkeo maana mnalala na kuamkia ccm! Watz wangekuwa salama tembo wetu na twiga wangeondoka kijinga namna hii??
 
hahahhahahaaaa, bug up mkuuu
 
Asante bro, kwa taarifa ila sikuelewagi. Mara upo ccm/wasindikizaji mara ukawa/washindi.
 
Back
Top Bottom