Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

Yericko wakupuuzwe ni wewe uliye muongo, copy cat na fitina wa kisiasa. You should win the prize for the worst joker in TZ. You love publicity and show off .
 
haha Yericko andaa watu wa kukudhamini mapema ndio uje kumpa Kova za uso....
usitafute kisingizio baada ya kuwekwa lupango.....
Kova anafanya kazi nzuri sana na hata najiuliza sijui akistaafu nani atakayefanya kazi kama yeye..hapa hatuangalii siasa tu..
We na wivu wako wa kisiasa utabaki unalalama hivyohivyo.
 
Hapo pa kumsamehe hapo..... tusijesema tunamsamehe bure kwa kuwa uwepo wake utakoma October 25 usiku wakati atakuwa ameshatuumiza vya kutosha na kutuachia majeraha yatakayodumu kwa muda wa miaka mingine 10!!.
 
Yericko nyerere kova ana matatizo na mroho wa madaraka kama amestaafu ya nini bado anaendelea kuwepo kwenye wazifa wake....
 
11954830_1478314792493485_1226192623963107819_n.jpg
 
Akifanya mchezo hiyo pensheni inaweza kutolika maana hayuko juu ya sheria za nchi hii.
 
Huyu Kova njaa itampeleka pabaya sana, muacheni awe toileti paper ya Fisadi Kikwete lakini yatamtokea puani
 
Huu kama sio mpango wa Mungu ninini?
YESU (Biblia)- ISSA(Qurran)
LOWASA
YESU ANAINGIA YERUSALEMU
Kwa hiyo wanafunzi wake wakaweka nguo zao juu ya mwanapunda huyo na Yesu akampanda kuelekea Yerusalemu. Watu wengi waliomfuata wakawa na mshangao wa furaha walipoyaona yaliyotendeka. Waliweza kwa haraka kufuata yale yaliyokuwa wamefanywa na mitume wakatandaza nguo zao chini ya njia aliyokuwa akipita, kama ishara ya heshima kwake yule aliyempanda mwanapunda. Bila shaka wanafunzi wenyewe walihisi kuwa hatimeye Yesu ataurudisha ufalme kwa Israeli na kuundoa utawala wa Rumi uliokuwa umechukiwa katika nchi. Wakati watu walipotaka kumweka Yesu kuwa Mfalme kabla ya wakati, hakukubali ufalme. Hata hivyo, sasa, akawahimiza wao wamtambue yeye kuwa ni mfalme wa Israeli.

Habari kuwa Yesu amekaribia kuingia Yerusalemu zikaenea katika vijiji na katika nyumba zilizokuwa kandokando ya njia hiyo ya kuelekea Yerusalemu. Watu wengi wakakata matawi ya mizeituni na wakaenda kukutana na Yesu (Yohana 12:12-13). Na kwa kadri watu walivyoongezeka, wakaimba nyimbo za kumsifu na kushangilia, ambapo nyimbo hizo zilikuwa ni kati ya zile zilizo katika Zaburi na hasa zie zilizoimbwa wakati wa Pasaka. "Hosana, Mana wa Daudi: Amebarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana;Hosana juu mbinguni" (Mathayo 21:9).

Na kusanyiko hilo walipofika katika Mlima wa Mizeituni, wakaanza kushuka mlima huo kuelekea Yerusalemu, mji uliochaguliwa, "kundi nzima la wanafunzi wake walianza kufurahia na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona" (Luka 19:37).

Walikuwemo baadhi ya Mafarisayo katika umati huo wa watu ambao waliposikia nyimbo za zaburi zikiimbwa kwa heshima ya Yesu wakashikwa na hasira. Wakamwambia Yesu, "Mwalimu uwakanye wanafunzi wako"; Yesu akawajibu, "Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kilele"
LOWASA ANAINGIA IKULU
Kwa hiyo wafuasi wake wakaweka bendera zao juu ya daladala hiyo na Lowasa akampanda kuelekea Magogoni. Watu wengi waliomfuata wakawa na mshangao wa furaha walipoyaona yaliyotendeka. Waliweza kwa haraka kufuata yale yaliyokuwa wamefanywa na viongozi wa UKAWA wakapeperusha bendera zao kwenye njia aliyokuwa akipita, kama ishara ya heshima kwake yule aliyepanda daladala. Bila shaka wananchi wenyewe walihisi kuwa hatimeye Lowasa ataurudisha tawala wa haki kwa Tanzania na kuundoa utawala wa CCM uliokuwa umechukiwa katika nchi. Wakati watu walipotaka kumweka Lowasa kuwa Rais kabla ya wakati, hakukubali Urais. Hata hivyo, sasa, akawahimiza wao wamtambue yeye kuwa ni Rais mtarajiwa wa Tanzania.

Habari kuwa Lowasa amekaribia kuingia Magogoni zikaenea katika mitaa na katika nyumba zilizokuwa kandokando ya njia hiyo ya kuelekea Magogoni. Watu wengi wakashika mabango na bendera na wakaenda kukutana na Lowasa (TV, Magazeti, Radio). Na kwa kadri watu walivyoongezeka, wakaimba nyimbo za kumsifu na kushangilia, ambapo nyimbo hizo zilikuwa ni kati ya zile zilizo katika vyama vya UKAWA na hasa zie zilizoimbwa wakati wa Ukombozi. "Rais wetu hoyee: CCM byebye, Peopleees power, Hakiii sawaa, Moto moto motoooo, NCCR hoyee" (TV, Redio, Magazeti).

Na kusanyiko hilo walipofika Kariakoo, wakaanza kuelekea Soko kuu, "kundi nzima la wanafuasi wake walianza kufurahia na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona" (TV, Magazeti Redio).

Walikuwemo baadhi ya Polisi, TISS, CCM katika umati huo wa watu ambao waliposikia nyimbo za ukombozi zikiimbwa kwa heshima ya Lowasa wakashikwa na hasira. Wakamwambia Lowasa, "Mgombea Urais wa UKAWA uwakanye wanafuasi wako"; Lowasa akawajibu, "Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kilele"
 
Tatizo lako Yeriko una mapenzi mazito na chama hadi unathubutu kusema uwongo ili uichafue serikali iliyopo madarakani. Unachotakiwa ni kusema ukweli au kunyamaza na siyo kudanganya au kuupotosha umma.
Vyeo vyote ambavyo ni vya kuteuliwa vina nafasi ya kuendelea hadi pale mamlaka illiyomteua itakapositisha nafasi au utumishi wake. hivyo hata kama Suleiman Kova ametimiza umri wa kustaafu mamlaka teule ina uwezo wa kumuongezea muda hadi pale itakapoona inatosha kufikia mwisho. Sujui umewahi kusoma labour law au?

Suala la kumuagiza IGP akawapige mabomu pia ni la uongo wa dhahiri kabisa, sijuui kwanini watu wa chama chenu mnapenda kujifanya mnaonewa, sijui mnatafuta huruma ya raia ili wawape kura zao au la!
Amri ya kupeleka kikosi ya kuzuwia ghasia haitolewi hadi ithibitike kuwa kuna fujo, na utulizaje wake pia unafuata hatua. haiwezekani watu waliojikusanya tu wakapigwa mabomu ilhali hawatii fujo zozote. Mabomu ya machozi ni hatua ya juu sana kwenye vurugu.

Acha kabisa kupotosha umma ili uonekane kama unaonewa. Kova kaeleza vema kuwa ule mkusanyiko wa watu unaofanywa kiholela unaweza kumdhuru yeye mwenyewe kwakua ulinzi unakua mdogo, pia kukusanya watu wengi kabla ya maandalizi kunafanya shughuli za kiuchumi kusimama.

Sasa mkiambiwa kuhusu usalama wenu wenyewe mnaanza kujifanya mnaonewa, isitoshe mgombea wenu mwenyewe ni mgonjwa sijui apigwe bomu ili iweje.
hebu subirieni October ifike mugaragazwe halafu mukauguzane mbele ya safari.

mnadhani moto wa Magufuli ni wa kuukaribia siyo.
#hapa kazi tu

Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa ccm au ni mtumishi wa umma mwenye kufuata miiko ya utumishi.

Kwamjibu wa sheria ya utumishi wa Umma, Seleman Kova ameshastaafu kazi ndani ya jeshi la polisi na nafasi yake imechukuliwa na Kamanda Tosi(si Tosi mmjuae).

Kova alistaafu siku moja na IGP Said Mwema, "LAKINI", Kova na Kikwete wakakubalia kuwa Kova aendelee kuwepo ndani ya jiji la Dar mpaka uchaguzi upite, kwa kile kilichodaiwa "hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yake wa kupambana na wapinzani" hivi ninavyowajuza, nikuwa Selemani Kova hana la kupoteza ndani ya jeshi la polisi, yupo tayari kufanya lolote ilimradi amfurahishe mteule wake, na uwepo wake Jeshi la polisi utakoma 25/10/2015 saa tano na dakika hamsini na tisa usiku (23:59).

Kova kwasasa hapati ushirikiano ndani ya jeshi, maafisa wa chini yake wamemtenga, amekuwa mropokaji zaidi ya Nape, wenzake wanamwita afisa habari wa Lumumba, mfano jana Kova alitoa agizo kwa RPC wa Ilala kuwa "apige" mabomu ya nguvu msafara wa Mgombea wa Ukawa Mh Lowasa uliokuwa Kariakoo, lakini kwa hekima na busara za RPC huyu wa Ilala, alifika nakuwaomba kwa heshima na hekima viongozi wa msafara ule wasitishe ziara ndani ya soko la kariakoo, na kutoa sababu ambazo kimsingi zimepokewa vema na timu nzima na kusitisha ziara,

Lakini Kova kama sehemu yakumjulisha bosi wake huku akikasirika amri yake ya kipuuzi kupuuzwa, amekurupuka na nakuitisha mkutano na waandishi wa habari kisha kutoa amri ambazo hata hajui anasimamia sheria ipi.

Tumsamehe na kumpuuza mstaafu huyu wa jeshi la polisi aliyeng'ang'ania kiti cha jeshi kwa mbeleko ya kisiasa kwani uwepo wake utakoma siku ya uchaguzi na baada ya hapo mkono wa sheria utachukua mkondo wake dhidi yake!

Mm kila cku ninajiuliza swali, iv Kova ni askari au mwandishi wa habari nilikosa jbu siku zote, ahsante leo kwa kunifahamisha mr Yericko Nyerere
 
Sawa uteuzi wa nyinyi kutoa mapovu unajulikana kutokana na sera za chupi za CCM.
 
Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa ccm au ni mtumishi wa umma mwenye kufuata miiko ya utumishi.

Kwamjibu wa sheria ya utumishi wa Umma, Seleman Kova ameshastaafu kazi ndani ya jeshi la polisi na nafasi yake imechukuliwa na Kamanda Tosi(si Tosi mmjuae).

Kova alistaafu siku moja na IGP Said Mwema, "LAKINI", Kova na Kikwete wakakubalia kuwa Kova aendelee kuwepo ndani ya jiji la Dar mpaka uchaguzi upite, kwa kile kilichodaiwa "hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yake wa kupambana na wapinzani" hivi ninavyowajuza, nikuwa Selemani Kova hana la kupoteza ndani ya jeshi la polisi, yupo tayari kufanya lolote ilimradi amfurahishe mteule wake, na uwepo wake Jeshi la polisi utakoma 25/10/2015 saa tano na dakika hamsini na tisa usiku (23:59).

Kova kwasasa hapati ushirikiano ndani ya jeshi, maafisa wa chini yake wamemtenga, amekuwa mropokaji zaidi ya Nape, wenzake wanamwita afisa habari wa Lumumba, mfano jana Kova alitoa agizo kwa RPC wa Ilala kuwa "apige" mabomu ya nguvu msafara wa Mgombea wa Ukawa Mh Lowasa uliokuwa Kariakoo, lakini kwa hekima na busara za RPC huyu wa Ilala, alifika nakuwaomba kwa heshima na hekima viongozi wa msafara ule wasitishe ziara ndani ya soko la kariakoo, na kutoa sababu ambazo kimsingi zimepokewa vema na timu nzima na kusitisha ziara,

Lakini Kova kama sehemu yakumjulisha bosi wake huku akikasirika amri yake ya kipuuzi kupuuzwa, amekurupuka na nakuitisha mkutano na waandishi wa habari kisha kutoa amri ambazo hata hajui anasimamia sheria ipi.

Tumsamehe na kumpuuza mstaafu huyu wa jeshi la polisi aliyeng'ang'ania kiti cha jeshi kwa mbeleko ya kisiasa kwani uwepo wake utakoma siku ya uchaguzi na baada ya hapo mkono wa sheria utachukua mkondo wake dhidi yake!

- Hapo uliposema Rais JK na Kova walikaa chini na kukubaliana aendelee kama ni kweli maneno yako basi huna hoja anachokifanya Rais kwenye ishu kama hii ni amri inayokubalika kisheria, akama alivyomchagua Mbatia Makamu wa Rais wa UKAWA kuwa Mbunge wa Taifa now ina maana wananchi wampuuze Mbatia kwa sababu Bunge limevunjwa?

Le Mutuz
 
Tatizo lako Yeriko una mapenzi mazito na chama hadi unathubutu kusema uwongo ili uichafue serikali iliyopo madarakani. Unachotakiwa ni kusema ukweli au kunyamaza na siyo kudanganya au kuupotosha umma.
Vyeo vyote ambavyo ni vya kuteuliwa vina nafasi ya kuendelea hadi pale mamlaka illiyomteua itakapositisha nafasi au utumishi wake. hivyo hata kama Suleiman Kova ametimiza umri wa kustaafu mamlaka teule ina uwezo wa kumuongezea muda hadi pale itakapoona inatosha kufikia mwisho. Sujui umewahi kusoma labour law au?

Suala la kumuagiza IGP akawapige mabomu pia ni la uongo wa dhahiri kabisa, sijuui kwanini watu wa chama chenu mnapenda kujifanya mnaonewa, sijui mnatafuta huruma ya raia ili wawape kura zao au la!
Amri ya kupeleka kikosi ya kuzuwia ghasia haitolewi hadi ithibitike kuwa kuna fujo, na utulizaje wake pia unafuata hatua. haiwezekani watu waliojikusanya tu wakapigwa mabomu ilhali hawatii fujo zozote. Mabomu ya machozi ni hatua ya juu sana kwenye vurugu.

Acha kabisa kupotosha umma ili uonekane kama unaonewa. Kova kaeleza vema kuwa ule mkusanyiko wa watu unaofanywa kiholela unaweza kumdhuru yeye mwenyewe kwakua ulinzi unakua mdogo, pia kukusanya watu wengi kabla ya maandalizi kunafanya shughuli za kiuchumi kusimama.

Sasa mkiambiwa kuhusu usalama wenu wenyewe mnaanza kujifanya mnaonewa, isitoshe mgombea wenu mwenyewe ni mgonjwa sijui apigwe bomu ili iweje.
hebu subirieni October ifike mugaragazwe halafu mukauguzane mbele ya safari.

mnadhani moto wa Magufuli ni wa kuukaribia siyo.
#hapa kazi tu

serikali iliyopo madarakan kwani ni safi?we asha
escrow
kagoda
ndege ya rais
deep green finance
downs
epa
richmond
kiwira(mgodi)
tangold
etc
so inachafuliwa au inanuka uchafu?
 
- Hapo uliposema Rais JK na Kova walikaa chini na kukubaliana aendelee kama ni kweli maneno yako basi huna hoja anachokifanya Rais kwenye ishu kama hii ni amri inayokubalika kisheria, akama alivyomchagua Mbatia Makamu wa Rais wa UKAWA kuwa Mbunge wa Taifa now ina maana wananchi wampuuze Mbatia kwa sababu Bunge limevunjwa?

Le Mutuz

wewe umekuzwa kwa kodi za watanzania na mara nyingi umekua ukijitoa ufahamu...sasa dawa ipo njiani...akili itawarudi tu na mtaona gharama ya uvunjwaji wa wazi wa sheria haswa kwa waliotarajiwa kuzisimamia.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom