Fisi akabidhiwi bucha mkuu!!!niPM namba yake nimuulize anatumia ID gani.
MAPROSOO.
Fisi akabidhiwi bucha mkuu!!!
zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili mmu juzi juzi kaamua kujiunga na yeye.nimejikuta nimepunguza mzuka wa kupost tatizo la kimapenzi linalonisibu au kutusibu na sijui kama ameshajua au haijui id yangu.nisaidieni jamani ntawezaje kuongeza uhuru wangu wa kushambulia hili jukwaa na jf kwa ujumla?
Gud girl, na wangu pia nimemkataza hivo hivo. Binadam si wema shemMi mwenyewe wangu kanikataza kucheka cheka na vinjemba vya humu. Tuna tabu kweli.
Gud girl, na wangu pia nimemkataza hivo hivo. Binadam si wema shem
Lol. Usimkataze shem! tofauti kati yako wewe na yeye, wewe ni mrembo na unafatwa na katika wanaokufata wengine wako serious, lakini yeye anafata na inaweza ikawa hayuko serious kwenye kufata fata kwake. Ni human nature shembinadam wabaya ila mimi cjamkataza kucheka na watu. Nilipize nini shem?
Lol. Usimkataze shem! tofauti kati yako wewe na yeye, wewe ni mrembo na unafatwa na katika wanaokufata wengine wako serious, lakini yeye anafata na inaweza ikawa hayuko serious kwenye kufata fata kwake. Ni human nature shem
Dah! shem kwenye huu mjadala unamwaga mapwenti mpaka nitashindwa kumtetea braza? Lakini shem mijanadume mingine ukiichekea inakuliza. Dunia lenyewe si unaliona shagala bagala.mbona tofauti ya kijinga shem! Lol, kwani si inawezekana nikawa uso wa mbuzi, kauzu kama dagaa lakini kwa pembeni naharibu? Huoni kama ananionea kunifanyia hivi wakati mi nampa uhuru sababu namuamini. Je hiyo ni namna nzuri ya kuishi na mpenz wako?
Dah! shem kwenye huu mjadala unamwaga mapwenti mpaka nitashindwa kumtetea braza? Lakini shem mijanadume mingine ukiichekea inakuliza. Dunia lenyewe si unaliona shagala bagala.
Mimi naona tuufunge tu shem! manake braza akiona hapa anaweza akaleta ubengazihehehehe! Shem leo nimekula pilau, nacheua mapwenti tu. Vp mjadala ubaki au tuuhamishe( unajua tutakapoupeleka shem). Lol.
Mimi naona tuufunge tu shem! manake braza akiona hapa anaweza akaleta ubengazi