mpenzi wangu yumo humu(uhuru sina)

km unajua maan y ID sas unahofu nn!sasa km we ulishawah kumwambia ndo itakucost otherwise ufungue ingne na ucrudie tn.
 
zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili mmu juzi juzi kaamua kujiunga na yeye.nimejikuta nimepunguza mzuka wa kupost tatizo la kimapenzi linalonisibu au kutusibu na sijui kama ameshajua au haijui id yangu.nisaidieni jamani ntawezaje kuongeza uhuru wangu wa kushambulia hili jukwaa na jf kwa ujumla?

vunja ukimya zungumza nae mambo yanayowahusuunafikiri suala ni kumueleza kila mtu siri zako za ndani?mwandani wako ndo wa kumleza siri zako kama hakuridhishi mwambie mtafute namna ya kuhuisha ndoa yenu,hapa sawa utapata ushauri ila ni vema na mwenzako akajua uliyonayo.tatizo wanandoa wengi wanaishi kama majirani na sio marafiki wakati wakiwa boyfriend na girlfriend kila kitu kilikuwa wazi why not now?
 
binadam wabaya ila mimi cjamkataza kucheka na watu. Nilipize nini shem?
Lol. Usimkataze shem! tofauti kati yako wewe na yeye, wewe ni mrembo na unafatwa na katika wanaokufata wengine wako serious, lakini yeye anafata na inaweza ikawa hayuko serious kwenye kufata fata kwake. Ni human nature shem
 
mbona tofauti ya kijinga shem! Lol, kwani si inawezekana nikawa uso wa mbuzi, kauzu kama dagaa lakini kwa pembeni naharibu? Huoni kama ananionea kunifanyia hivi wakati mi nampa uhuru sababu namuamini. Je hiyo ni namna nzuri ya kuishi na mpenz wako?
 
pole,ila nakupa hongera kwa kutuogezea memba humu jf.cha msingi mdadisi kama anaijua id yako.kama haijui we post tu,mavitus,
 
mbona tofauti ya kijinga shem! Lol, kwani si inawezekana nikawa uso wa mbuzi, kauzu kama dagaa lakini kwa pembeni naharibu? Huoni kama ananionea kunifanyia hivi wakati mi nampa uhuru sababu namuamini. Je hiyo ni namna nzuri ya kuishi na mpenz wako?
Dah! shem kwenye huu mjadala unamwaga mapwenti mpaka nitashindwa kumtetea braza? Lakini shem mijanadume mingine ukiichekea inakuliza. Dunia lenyewe si unaliona shagala bagala.
 
Dah! shem kwenye huu mjadala unamwaga mapwenti mpaka nitashindwa kumtetea braza? Lakini shem mijanadume mingine ukiichekea inakuliza. Dunia lenyewe si unaliona shagala bagala.

hehehehe! Shem leo nimekula pilau, nacheua mapwenti tu. Vp mjadala ubaki au tuuhamishe( unajua tutakapoupeleka shem). Lol.
 
Back
Top Bottom