mpenzi wangu yumo humu(uhuru sina)

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,720
19,862
Zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.Na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili MMU juzi juzi kaamua kujiunga na yeye.NIMEJIKUTA NIMEPUNGUZA MZUKA WA KUPOST TATIZO LA KIMAPENZI LINALONISIBU au KUTUSIBU na sijui kama ameshajua au haijui ID yangu.NISAIDIENI JAMANI NTAWEZAJE KUONGEZA UHURU WANGU WA KUSHAMBULIA HILI JUKWAA NA JF KWA UJUMLA?
 
ID yake unaijua? ole wako uje umtumie PM za kumtaka ukidhani ni mdada wa jf kumbe mkeo,utalijua jiji siku hiyo maana ukute ID yako anaijua.
 
Hamia Mzalendo Net , au Bodoo , mlambe chenga Forums social mbona ziko bwaa?
Labda kama ulikunywa maji ya Jf's flag .
 
unaogopa nini sasa!

We huoni vitu vingine naweza post kwa nia nzuri akavitafsiri kinyume.Fikilia kama nimepost kitu kama "mke wng ana makelele yanayoidhi wakati namfanya hapo naomba ushauri nitumie mbinu gani kumueleza aache kupiga mayowe"Hili nalo ntajibu mashtaka maana kamfano kana ukweli kidogo.
 
fungua multiple ID kwa jinsia zote na ukianzisha thread inayozungumzia tatizo lenu halisi unaishadidia mwenyewe kwa ID tofauti tofauti ili kum-confuse
 
Usijifanye mjanja unaweza kukuta naye alikuwa JF kitambo anakuchora tu...shauri yako....au ndiye yule aliyejiita Mrs Matumbo akilalamikia dada wa humu kwamba ni wezi wa waume za watu.Chunga mkuu
 
fungua multiple ID kwa jinsia zote na ukianzisha thread inayozungumzia tatizo lenu halisi unaishadidia mwenyewe kwa ID tofauti tofauti ili kum-confuse

Duu nitamchanganya ndio ila tatizo linaweza likawa kwa nini nimeandika hiko kitu anachoona kinamdhalilisha.
 
Usijifanye mjanja unaweza kukuta naye alikuwa JF kitambo anakuchora tu...shauri yako....au ndiye yule aliyejiita Mrs Matumbo akilalamikia dada wa humu kwamba ni wezi wa waume za watu.Chunga mkuu

Si kweli mkuu alivutiwa na hadithi zangu ambazo reference yake ilikuwa ni Jf. Ndio akaona ajiunge wala hakuwa na idea kuhusu mambo yanayozungumzwa jf.
 
Zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.Na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili MMU juzi juzi kaamua kujiunga na yeye.NIMEJIKUTA NIMEPUNGUZA MZUKA WA KUPOST TATIZO LA KIMAPENZI LINALONISIBU au KUTUSIBU na sijui kama ameshajua au haijui ID yangu.NISAIDIENI JAMANI NTAWEZAJE KUONGEZA UHURU WANGU WA KUSHAMBULIA HILI JUKWAA NA JF KWA UJUMLA?

niPM namba yake nimuulize anatumia ID gani.
MAPROSOO.
 
Kama hajui ID yako sioni shida, unaweza kupost hilo tatizo kwa kutumia m2 wa tatu. Watu wana matatizo yanayofanana/endana hivyo sidhani km atajishtukia.
 
Back
Top Bottom