pole sana... vumilia au jitume kuchunguza zaidi
eeehhh basi bana! mie nampa moyo nyie mnampa presha!! hakawii kujiua huyoHakuna la kukufariji hapa na hata bila uchunguzi hapo umeishamegewa so kama vp na we mwaga mboga kama uwezo unao..Pole inauma lakini.
So GF is nobody eeeh?
Pole itee; sometime inakua ngumu sana kupenda katika maisha ya leo ambayo wote ni watafutaji... Jaribu kufikiria kama wewe ndiye ungekua unasafiri na huyo dada awe na boyfriend/mume anavumilia tu... mengi ya mawazo yetu yamezungukwa na tabia zetu (hapa niwe muwazi, mimi si mwema na mawazo yangu ni mabaya most of the time);H
- kama kweli jamaa anapiga - most likey jamaa si ajabu hakuanza na matamanio ila yalikuja kutokana na wao kuwa pamoja na upweke hasa watu wakiwa safari za mbali; this is natural na huwezi kuizuia hata ufanyeje, both male and female wanakua more vulnerable na more prone kufanya ile kitu wakiwa mbali na kwao; hapo ndio pagumu, iwapo walifanya mara moja na wakagundua kosa, utaona mama mwenyewe anaanza kukwepa safari na mtu huyo ila akizidi kunogewa basi ndio unampoteza kabisaaaa
- scenario ya pili ni ujinga wetu wanaume kuhisi tunaibiwa kutokana na tabia zetu, je kuna dalili zozote kama vile mawasiliano yasiyokwisha na simu au sms? penzi huwa ni kikohozi na utajua tu kama mawazo ya wakwako yameanza kuegamia kando
- mwisho ni kwamba uko right kuwa na wasiwasi, kwani kama huna basi ujue humpendi huyo mwenzako
solution ndugu yangu; muulize kwa upole, akikataa chunguza, ukingundua acha... amini nakwambia kwamba kama wanafanya kazi pamoja hawataacha hata uwapeleke vatican na kama wanapendana, hata akiacha kazi wataonana tu!!! ikikaa vibaya iweke public kwa mke wa jamaa ingawa hiyo nayo haijawahi kuwa effective
weigh your options, balance you emotions.... ikikushinda tema, hakuna faida ya egoism!!
Anzisha Mahusino na Mke wa huyo "BOSI" - Hiyo inaitwa : Mwaga Ugali Nimwage Mboga - Play Safe though