Mpenzi wangu na safari za bosi

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau
 
Pole! Kubaliana na hali halisi au mwachishe kazi! Nahisi kitu ambacho hakiwezekani!
 
Anzisha Mahusino na Mke wa huyo "BOSI" - Hiyo inaitwa : Mwaga Ugali Nimwage Mboga - Play Safe though
 
amwachishe kazi ama na yeye aachwe?akimpa mkwara aache kazi binti naye atammwaga kashanogewa na safari na maraha huyo we anza kutafuta mchumba mwingine tu huyo hakufai.
 
jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.nifanyeje nisaidieni wadau
hapo bosi ameingia ubia,chagua kusuka au kunyoa.
 
@baba E suluhu ya tatizo ni kuongeza tatizo eeh!!!
didnt knw this
 
Ni hisia zako tu mkuu. Huwezi kuibiwa. Kwani akirudi unamuonaje? Ana dharua? Umdaniaye ndiye siye
 
duh pole san ahapo USIHISI NI UNAIBIWA.

duuh...bibie nisamehe kama nitakuwa nimeku-abuse..ila nikiongea toka moyoni mwangu hii avatar yako inaongeza msukumo wangu wa damu kuelekea kwenye maungo ya ndoa hence uume unasimama bila sababu ya msingi...can u do a lil favour pse ukaiondoa au hata ukaiadjust isiwe inachezacheza as if binti una-ride a white horse?...NISAMEHE PLEASE lakini huo ndio ukweli...inaniumiza
 
it depends how far you can go to find out the trueth, kama hauna any evidence sio healthy kumshukia mpenzi wako...jaribu kutafuta ukweli na kama kweli ana cheat...u can decide what is the best for u....leave her or talk to her try to work things between you.
 
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau

mzee kuwa makini katika hili...naomba unijuze yafuatayo
1.- ni mpenzi kwa maana ya gfriend au ni mke kwa maana ya kifo kiwatenganishe??
2.- yeye ni nani kwwa boss wake?..kama ni ps unataka iweje na hiyo ndio line yake ya kazi na ndizo taratibu za ajira yake?
3.- wewe na yeye mlijuana/kufahamiana vip..kabla hajapata hiyo ajira au baada ya kuwa na ajira yake?

kama ni gf tu na hamjaoana...fuatilia upate undani wa jambo hilo na uhakika...na ikigundulika kuwa ana uhusiano na boss wake FASTA MWAGILIE MBALI...maana hana sifa za kuwa mke wa ndoa.

kama ni goma na wewe unajipigia tuu...INSHALLAAH..halwaa haina makombo...endelea kumla na sahivi inabidi ujibu maswali ya section B ndio yenye marks nyingi..ahahahah...kijana naamini umenielewa...anza kumla goTi huduma iloboreshwa zaidi

kama ni mke na issue ni kifo kuwatenganisha...mwambie fasta apige kazi chini maana inahatarisha ndoa yako na yake pia

akishaacha ajira mwambie x-boss wake akae mbali na ndoa yako la sivyo utachofanya anajua mungu na madaktari bingwa...kuna sehemu inaitwa kwa msisi hapo tanga...kamuone huyo mzee msisi anamgeuza mshikaji anakuwa maji magumu watu wanamtafunia yeye anameza tu...haina tiba hiyo

NI MAONI TU WADAU
 
Tehee tehee tehee... Itetei Lya Kitee matatizo na mkeo hayaishi tu? mara mpenzi wako ana chuki na ndugu yako, mara safari na bosi wake zimezidi Tehee tehee tehee....
 
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau

Dah mzee pole sana
Jaribu kuangalia kama kweli anakupenda au zuga tu.
 
mzee kuwa makini katika hili...naomba unijuze yafuatayo
1.- ni mpenzi kwa maana ya gfriend au ni mke kwa maana ya kifo kiwatenganishe??
2.- yeye ni nani kwwa boss wake?..kama ni ps unataka iweje na hiyo ndio line yake ya kazi na ndizo taratibu za ajira yake?
3.- wewe na yeye mlijuana/kufahamiana vip..kabla hajapata hiyo ajira au baada ya kuwa na ajira yake?

kama ni gf tu na hamjaoana...fuatilia upate undani wa jambo hilo na uhakika...na ikigundulika kuwa ana uhusiano na boss wake FASTA MWAGILIE MBALI...maana hana sifa za kuwa mke wa ndoa.

kama ni goma na wewe unajipigia tuu...INSHALLAAH..halwaa haina makombo...endelea kumla na sahivi inabidi ujibu maswali ya section B ndio yenye marks nyingi..ahahahah...kijana naamini umenielewa...anza kumla goTi huduma iloboreshwa zaidi

kama ni mke na issue ni kifo kuwatenganisha...mwambie fasta apige kazi chini maana inahatarisha ndoa yako na yake pia

akishaacha ajira mwambie x-boss wake akae mbali na ndoa yako la sivyo utachofanya anajua mungu na madaktari bingwa...kuna sehemu inaitwa kwa msisi hapo tanga...kamuone huyo mzee msisi anamgeuza mshikaji anakuwa maji magumu watu wanamtafunia yeye anameza tu...haina tiba hiyo

NI MAONI TU WADAU
So GF is nobody eeeh?
 
Kaa nae mpe ukweli wako jinsi unavyojisikia na Trip zake na boss ..mpe msimamo wako kama hupendezwi asuke au kunyoa akishindwa basi mwachie boss ajimilikishe tu
 
Mkuu,labda ufafanue zaidi.yaani kinachokufanya uone unaibiwa ni kwa kuwa anasafiri sana na bosi tu?vipi tabia zake ndani?

Nakushauri ndugu yangu ukae chini ufanye uchunguzi wa kimya kimya bila kuonyesha dalili zozote za kumhisi vibaya

Pia unaweza kumwambia wazi una wasiwasi na mienendo yake,but do it briliantly!
 
Back
Top Bottom