Mpenzi wangu na safari za bosi

Pengine hakuna BAYA linaloendelea. Chunguza kwa undani halafu hakikisha jibu la uchunguzi wako ukimaliza tuletee hapa tukupe ushauri. I believe, love begins with contact and a minimized distance. Think about it!
 
Pole itee; sometime inakua ngumu sana kupenda katika maisha ya leo ambayo wote ni watafutaji... Jaribu kufikiria kama wewe ndiye ungekua unasafiri na huyo dada awe na boyfriend/mume anavumilia tu... mengi ya mawazo yetu yamezungukwa na tabia zetu (hapa niwe muwazi, mimi si mwema na mawazo yangu ni mabaya most of the time);

  • kama kweli jamaa anapiga - most likey jamaa si ajabu hakuanza na matamanio ila yalikuja kutokana na wao kuwa pamoja na upweke hasa watu wakiwa safari za mbali; this is natural na huwezi kuizuia hata ufanyeje, both male and female wanakua more vulnerable na more prone kufanya ile kitu wakiwa mbali na kwao; hapo ndio pagumu, iwapo walifanya mara moja na wakagundua kosa, utaona mama mwenyewe anaanza kukwepa safari na mtu huyo ila akizidi kunogewa basi ndio unampoteza kabisaaaa
  • scenario ya pili ni ujinga wetu wanaume kuhisi tunaibiwa kutokana na tabia zetu, je kuna dalili zozote kama vile mawasiliano yasiyokwisha na simu au sms? penzi huwa ni kikohozi na utajua tu kama mawazo ya wakwako yameanza kuegamia kando
  • mwisho ni kwamba uko right kuwa na wasiwasi, kwani kama huna basi ujue humpendi huyo mwenzako

solution ndugu yangu; muulize kwa upole, akikataa chunguza, ukingundua acha... amini nakwambia kwamba kama wanafanya kazi pamoja hawataacha hata uwapeleke vatican na kama wanapendana, hata akiacha kazi wataonana tu!!! ikikaa vibaya iweke public kwa mke wa jamaa ingawa hiyo nayo haijawahi kuwa effective

weigh your options, balance you emotions.... ikikushinda tema, hakuna faida ya egoism!!
 
pole sana! ongea nae, ona msimamo wake uko wapi? kwa bosi au kwako, si unajua hwa mabosi wanavyotufanya wanawake, may be hana sauti na kazi anaitaka. "damn you guys "(men especially bosses)
 
Kamanda kula kona kama ni mpenzi tu(GF) usije kuchomoa kisu bure! Ila kama ni mke, mwaachishe kazi ila umfungulie mradi asijekuwa anapewa pocket money na boss!
 
Hebu mchunguze kwanza usi hisi tu kabla ujaupata ukweli baada ya hapo utamua kusuka ama kunyoa ila pole sana!
 
Kumbe ni mpenzi na wala si mke!!! Hapo kuna shida gani kaka?!!!Piga chini huyo hafai kuwa mpenzi wala mke, bali umefuga malaya tu! Kwa nini ufe na tai shingoni?
 
Hakuna la kukufariji hapa na hata bila uchunguzi hapo umeishamegewa so kama vp na we mwaga mboga kama uwezo unao..Pole inauma lakini.
eeehhh basi bana! mie nampa moyo nyie mnampa presha!! hakawii kujiua huyo
 
naona mtoa mada mwenyewe kaingia mitini.... probably it was a story invented
 
Mmh, kaka nahisi hata wewe pia ni mwizi.
Unajua kama wewe ni mwizi na huwa unatumia style fulani basi hata kama mtu mwingine anafanya kitu cha kawaida utaona unaibiwa. Kuibiwa sio mpaka safari kaka, kwani akikuambia nitachelewa kurudi home nimepewa kazi na Bosi na akimrudisha tena Bosi mwenyewe saa sita au saba usiku utaamini alikua kazini? tena unamfunglia mlango na geti wewe mwenyewe na kusalimiana na kuagana na huyo bosi hapo je?

Kama sio mwaminifu sio mwaminifu tu kaka, na mimi nililinda weee, nikajikuta mimi ndo nilikuwa mwizi mwenzangu wala hayuko huko by the way; wanawake ni waaminifu sana kuliko sisi wanaume.

Meza tu Kaka, chungu japo Dawa
 
De Novo thanks
Pole itee; sometime inakua ngumu sana kupenda katika maisha ya leo ambayo wote ni watafutaji... Jaribu kufikiria kama wewe ndiye ungekua unasafiri na huyo dada awe na boyfriend/mume anavumilia tu... mengi ya mawazo yetu yamezungukwa na tabia zetu (hapa niwe muwazi, mimi si mwema na mawazo yangu ni mabaya most of the time);H

  • kama kweli jamaa anapiga - most likey jamaa si ajabu hakuanza na matamanio ila yalikuja kutokana na wao kuwa pamoja na upweke hasa watu wakiwa safari za mbali; this is natural na huwezi kuizuia hata ufanyeje, both male and female wanakua more vulnerable na more prone kufanya ile kitu wakiwa mbali na kwao; hapo ndio pagumu, iwapo walifanya mara moja na wakagundua kosa, utaona mama mwenyewe anaanza kukwepa safari na mtu huyo ila akizidi kunogewa basi ndio unampoteza kabisaaaa
  • scenario ya pili ni ujinga wetu wanaume kuhisi tunaibiwa kutokana na tabia zetu, je kuna dalili zozote kama vile mawasiliano yasiyokwisha na simu au sms? penzi huwa ni kikohozi na utajua tu kama mawazo ya wakwako yameanza kuegamia kando
  • mwisho ni kwamba uko right kuwa na wasiwasi, kwani kama huna basi ujue humpendi huyo mwenzako

solution ndugu yangu; muulize kwa upole, akikataa chunguza, ukingundua acha... amini nakwambia kwamba kama wanafanya kazi pamoja hawataacha hata uwapeleke vatican na kama wanapendana, hata akiacha kazi wataonana tu!!! ikikaa vibaya iweke public kwa mke wa jamaa ingawa hiyo nayo haijawahi kuwa effective

weigh your options, balance you emotions.... ikikushinda tema, hakuna faida ya egoism!!
 
Hata avatar yako inaonyesha kabisa how easily can someone cheat. Sembuse hiyo ya safari za nje na bosi. Yaani wala usihisi ni kwamba UNATAFUNIWA.

Na kama huyo mpenzi wako kanogewa kiasi hicho siku ukimwambai kwamba unazitilia mashaka safari hizo, basi atakwambia muachane kwa kuwa unataka kumuharibia kazi yake.
 
unahisi kuibiwa??!!kuibiwa si kitu kinakwenda moja kwa moja?mi nadhani jamaa (Boss) anaitumia tu!!hajakuibia!
 
Back
Top Bottom