Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Huo sio mpasuko. Ndio demokrasia. Ila they need to reach a common amicable agreement. Kwamba kusiwepo tofauti ya maoni, hiyo sio sahihi. CDM ni makini hawatafarakana kwa hilo dogo tu.

Kama hakuna mpasuko then what do they need to agree each other?
 
Kwahiyo mheshimiwa umekosa kabisa mikakati na mipango mingine iliyoongelewa huko London ila tu ukaona la urais wa Slaa na Mbowe?huu sasa ni udaku,wewe tulia mda ukifika tutajua nani anafaa tumpe hiyo kazi,kimsingi CDM ni taasisi imara sana na iko kimkakati zaidi ya hisia za mtu binafsi...tupe na positive ideas za hicho kikao plz ndugu mleta mada.
 
Wafuasi ndio wanaleta mvutano kila kambi ikitaka mtu wao ili chama kikishika dola matunda yanakuwa matamu. Wala sishangai nilitegemea sana mgongano huu kutokea.

Hili ndilo neno na si kukataa kuwa hakuna mpasuko.
 
Wana JF..
CCM katika mambo yaliokuwa yanawaumiza kichwa ni jinsi ya kuweza kuweza kuutumia mitandao kwa ajili ya kuendeshea propoganda zao na vile vile kutengeneza majungu katika vyama tishio vya upinzani. Na walikuwa wanasumbuliwa sana na mitandao na haswa huu wa Jamii Forums.. ambao wao waliuchukulia kama ni mtandao wa upinzani dhidi ya CCM..! Kwa hiyo wametengeneza mkakati ambao sasa mnauona humu mtandaoni.. Wanatengeneza habari za uchonganishi na kuzi-post kwa JF.. Halafu Nao wanachangia kutoa comments wakijifanya wengine kama innocent members humu na wanashangaa.. Hii yote ni part of their plans kuleta chaos/topsy-turvydom ndani ya CDM.. Wameishiwa sera.. Hawana cha kuwaambia wananchi na sasa njia pekee walioiona ya kuendelea kubaki madarani ni kuvuruga upinzani.. Hii post ni moja kati kazi yao ya kujaribu kuleta misunderstanding ndani ya CDM..! Ni juu yetu kuhakikisha njama hizi hazitafanikiwa..
 
Hacha kumrisha maneno Dr Kitila Nkumbo wewe, Dr Kitila ni mtu makini sana hawezi kudhungumza upuuzi huu. shame

Huwezi kuwa na uhakika 100 %. Unajua baada ya uchaguzi 2010, john Mnyika kwenye signature yake ilikuwa inasema "Mbowe for President 2015." Ofcorse ni democracy, lakini sioni kwa nini mnataka kumpinga mtoa hoja bila kuwa na ushadi wakati amesema alikuwepo kwenye hicho kikao. Cha muhimu hapa Kitila aje humu kukanusha then tuone mleta hoja atakuja na evidence zipi!!
 
Mbowe kaachiwa chadema na mkwe wake Edwin Mtei pengine anataka kurudisha chama kwenye familia yao?
 
Hii hoja sio ya kuitazama kijuu juu, kuna masuala mengi ya kujadili na kuyatafakari hasa linapokuja suala la wakati na mazingira
 
Back
Top Bottom