Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
- Thread starter
- #41
Ni vyema slaa akamwachia mbowe kwani mbowe ameonyesha uwezo mkubwa ktk kipindi hiki kifupi akiwa kiongozi wa upinzani
Wana JF..
CCM katika mambo yaliokuwa yanawaumiza kichwa ni jinsi ya kuweza kuweza kuutumia mitandao kwa ajili ya kuendeshea propoganda zao na vile vile kutengeneza majungu katika vyama tishio vya upinzani. Na walikuwa wanasumbuliwa sana na mitandao na haswa huu wa Jamii Forums.. ambao wao waliuchukulia kama ni mtandao wa upinzani dhidi ya CCM..! Kwa hiyo wametengeneza mkakati ambao sasa mnauona humu mtandaoni.. Wanatengeneza habari za uchonganishi na kuzi-post kwa JF.. Halafu Nao wanachangia kutoa comments wakijifanya wengine kama innocent members humu na wanashangaa.. Hii yote ni part of their plans kuleta chaos/topsy-turvydom ndani ya CDM.. Wameishiwa sera.. Hawana cha kuwaambia wananchi na sasa njia pekee walioiona ya kuendelea kubaki madarani ni kuvuruga upinzani.. Hii post ni moja kati kazi yao ya kujaribu kuleta misunderstanding ndani ya CDM..! Ni juu yetu kuhakikisha njama hizi hazitafanikiwa..
Sidhani kama Kitila anaweza kusema haya. Dr. Kitila Mkumbo ni mtu makini sana. Hawezi kuongea ovyo namna hii. Sidhani pia hawa wawili Mbowe na Slaa wanawaza kugombea uraisi wakati huu. Msimkosanishe Dr. Kitila na Dr. Slaa na Mbowe
Mshauri mkuu wa chadema ndugu, Kitila Mkumbo alitembelea Uingereza katika miji ya London na Readings kuanzia tarehe 5 Machi na 6 Machi 2012 na kuondoka tarehe 10 Machi, 2012.
Miongoni mwa mambo aliyotueleza ni kuwepo kwa mpasuko wa nani anasitahiri kubeba/kupeperusha bendera ya chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kati ya Freeman Mbowe na Dk. Slaa. Mkumbo anasema kuna kambi mbili zinazopingana ndani ya chadema kuhusu suala hilo.
Wanaomuunga mkono Dk. Slaa wanasema kwamba ni mtu anayejua kujenga hoja, ana mvuto, wananchi wanamwamini kuliko Mbowe lakini pia kwamba Dk. Slaa alishinda uchaguzi mkuu wa 2010 kabla ya kuchakachuliwa. Kwa sababu hiyo akipewa nafasi tena 2015 na chadema ikisimamia vyema uchaguzi huo Dk. Slaa anaweza kuwa Rais ajaye.
Kambi ya mbowe inasema kwamba alitumia asilimia 72 ya pesa yake katika kufanikisha kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, wapo wanaodai chama kirudi mikononi mwa Mbowe kwa sababu hivi sasa ameimarika zaidi kwa ajili ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao. My take: Kuendeleza huo mpasuko kutaisaidia ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Wadau nimeleta kwenu tusaidiane namna ya kutafuta ufumbuzi wa mpasuko wa kambi mbili hizi ili chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani na pengine kushika dola mwaka 2015. Source: Nilikuwa Uingereza miongoni mwa wafuasi wa chadema tuliohudhuria kikao cha kamanda wetu Kitila.
Dr. Kitila ni member huku JF.Atasema na ni mtu makini.Hii ndiyo tofauti kati ya Chadema na wale wengine
-Halafu pia watu kuchuana kugombea urais ndani ya chama siyo mpasuko bali ni zoezi la kidemokrasia.Kwani ulaumu mchakato uliompitisha Pinda kugombea Ubunge bila kupingwa na hivyo kuwa waziri mkuu at the same time unalaumu zoezi la kidemokrasia la kuwania uteuzi wa nafasi ya Urais kupitia chama cha DEMOKRASIA na MAENDELEO?
Hizi thread za upotoshaji na rumours zimekuwa nyingi mno JF sasa
A hateful character to the point of petty spitefulness, is generally to be ignored. Nonetheless, this foolish and rumour-mongering thread should be condemned and discouraged. Very annoying indeed to note that some are only interested in gossip and mindless rumour-mongering.
Glaring why Tanzania is not making progress. Far too many lack sophisticated, mature, objective and productive minds that can deliver solutions and results
Tuna chaguzi ndogo,tuelekeze nguvu na akili huko.Baada ya hapa tukae chini tutafakari kwanza juu ya kuwa na katiba mpya au angalao tume huru ya Uchaguzi before General Election
Mkuu Ben kwa hiyo unataka thread zote ziwe za uchaguzi mdogo na katiba mpya? Siasa ni mchakato na ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku hivyo basi hakuna shida ya kuongelea mambo mbalimbali ya kisiasa ikiwemo kuangalia ni akina nani watatufaa 2015.
Tutasikia mengi mkuu. wenzetu hawalali wameona hawana cha kuwaambia wananchi wameamua kutafuta mbinu za kuwachonganisha CDM. mara Slaa mwizi kaibia CDM 280,000, mara mchumba wake kalipwa mil 10, nk. ukiwaambia toeni ushahidi wote wanasepa.Sidhani kama Kitila anaweza kusema haya. Dr. Kitila Mkumbo ni mtu makini sana. Hawezi kuongea ovyo namna hii. Sidhani pia hawa wawili Mbowe na Slaa wanawaza kugombea uraisi wakati huu. Msimkosanishe Dr. Kitila na Dr. Slaa na Mbowe
Watanzania wengi wa humo reading, UK ni wazanzibari wa kujilipua. Endeleeni kubolesha ndoa yenu na ccmMshauri mkuu wa chadema ndugu, Kitila Mkumbo alitembelea Uingereza katika miji ya London na Readings kuanzia tarehe 5 Machi na 6 Machi 2012 na kuondoka tarehe 10 Machi, 2012.
Miongoni mwa mambo aliyotueleza ni kuwepo kwa mpasuko wa nani anasitahiri kubeba/kupeperusha bendera ya chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kati ya Freeman Mbowe na Dk. Slaa. Mkumbo anasema kuna kambi mbili zinazopingana ndani ya chadema kuhusu suala hilo.
Wanaomuunga mkono Dk. Slaa wanasema kwamba ni mtu anayejua kujenga hoja, ana mvuto, wananchi wanamwamini kuliko Mbowe lakini pia kwamba Dk. Slaa alishinda uchaguzi mkuu wa 2010 kabla ya kuchakachuliwa. Kwa sababu hiyo akipewa nafasi tena 2015 na chadema ikisimamia vyema uchaguzi huo Dk. Slaa anaweza kuwa Rais ajaye.
Kambi ya mbowe inasema kwamba alitumia asilimia 72 ya pesa yake katika kufanikisha kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, wapo wanaodai chama kirudi mikononi mwa Mbowe kwa sababu hivi sasa ameimarika zaidi kwa ajili ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao. My take: Kuendeleza huo mpasuko kutaisaidia ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Wadau nimeleta kwenu tusaidiane namna ya kutafuta ufumbuzi wa mpasuko wa kambi mbili hizi ili chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani na pengine kushika dola mwaka 2015. Source: Nilikuwa Uingereza miongoni mwa wafuasi wa chadema tuliohudhuria kikao cha kamanda wetu Kitila.
Kitila Mkumbo uko hapa online tunakuona, hivi inakugharimu how much kuthibitisha au kukanusha taarifa hizi!!??
siwaniweke jembe LISSU, nahakika ndiye rais ninaemuota na ninatamani sana.