Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

Huyo first class economist anazidi kudhihirisha jinsi alivyo kichwa uji.
Nani anayeweza kumdanganya na hizo Tshirts zake? Labda hiyo ya kununua watu itamsaidia kumfariji kwa muda mfupi tu lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na anayezitumia vizuri hawezi ku-cross toka Chadema ama any oppositin party kwenda ccm. Na hata hao anaowanunua baadae watakimbia na kurudi kwenye kundi lenye matumaini na kuwaacha wafe na ccm yao.
Halafu sijui kuna faida gani kwa CCM kwa kufanya ubaguzi kama huu kwa wachaga. Kweli watu wakiishiwa mbinu huwa wanawaza cha leo tu bila kuangalia athari zitakazo kuja baadaye. CCM wakifanya hii move itakula kwao tu...
 
Mh! huyu mchumi wa darasa la kwanza Mh. Chemba mpumbavu, mjinga, mzinzi, muasherati, malaya, mchafu, mtesa wanyama kumbe ndiye mpiga propaganda wa Chama Cha Mwabepande?!
Sishangai chama kama kinakufa vile..
 
Mwigulu mwongo anataka arudi igunga kumbandua mke wa kada mwenzake amemkumbuka si alifumaniwa huyu igunga na mke wa kada mwenzie???
 
Mwigulu aendelee kuwabeza wachaga....ajue kura kaskazini kutoka ccm asahau na asije hata akadiriki kutia mguu arusha/moshi
 
Kwa uhakika nasema na nitaendelea kusema, kama kijana aliuawa pale Msamvu juzi na watu wakasema aluta continua wakajaa kwenye Mkutano wa CDM, hata akichapa Tshirt nyingi kiasi gani atakuwa anapoteza muda wake. Diwani mmoja rafiki pale Morogoro hapo nyuma aliniambia kuwa hapa Morogoro hatutaki uchafu wa UPINZANI lakini juzi i confirm beyond doubt that people want changes. Mwigulu ongeza bidii ambayo haitakusaidia, you need help from above.
 
Wanafikiri watanzania tu vilaza kiasi hicho. Kajionyesha yeye ndo kilaza kiasi hiki.
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-


Wameishiwa wamebaki kukopi kila kitu kufika 2015
Tutaona mengi huwezi panguwa alicho panga MUNGU
 
Kwakweli Mwingulu ana laana sana! Na kwa hili kwakweli hawata fanikiwa!

Kwakweli M4C ina wauma CCM!

Na watazidi kuumbuka tu!
 
Nadhani kuna haja ifike wakati vijana wa Tanzania tuweze kusimamia mambo tunayoyaamini. Sidhani kama ni sahihi mtu kuja na allegation nzito na kukosa ujasiri hata wa kujitambulisha yeye ni nani ilhali akijidai kuwa anapigania maslahi ya taifa.
Why cannt you stand and say who you are and what you believe in?!!!
Taarifa za namna hii ni sawa kabisa na kuuziana mbuzi kwenye gunia...

Unatamani kujua mimi nani? nitakuelekeza pa kunipata, la uongo hapo lipi? ama unataka nitaje hadi hizo t.shirts zimetengenezwa wapi? Unataka niseme nini kuhusiana na hiyo Fusso? Unataka kusema Mwigulu haendi Igunga week end hii ? kwa taarifa yako tayari kashaondoka Dar leo na atakuwa DOM theni ataendelea na safari yake ya Igunga na baada ya hapo atakuwa Iramba.

Mimi sikubaliani na uhuni wa kuligawa taifa kikabila, kikanda na kidini yeyote anayefanya hivyo nitampinga .

Kwa hiyo ujasiri wako ndio umeishia hapo?
Unanikumbusha hadithi ya mfalme juha...
 
Kwa hiyo ujasiri wako ndio umeishia hapo?
Unanikumbusha hadithi ya mfalme juha...

Ulitaka niende mpaka wapi? sema nami nitafika unapotaka nifike .....Ujasiri wangu sio wa kifisadi ndio maana .......najua mpaka sasa Lumumba hali imeshachafuka tayari .......
 
Shughuri za udini zimerigharimu taifa hapa kwenye sensa , na kwa wenye kujua mwanzilishi ni ccm na mpaka sasa hatutaweza kulitibu haraka kwani watu potofu kama mwiguluu wanaendelea kulienez. wakristu mlio ccm muwaze madhara ya hilo jambo kwa taifa na hasa kwenye uchaguzi wa 2015
 
Ina maana kama CCM wanasema wachagga wanachangisha pesa kuna haja ya kupiga marufuku viongozi wa ccm kukanyaga Moshi,na tutaanza kampeni maalum kuhusu hili swala.
Mbona ccm kuna wasomi wengi inakuweje wanaruhusu propaganda za hivi?
 
Back
Top Bottom