Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

Ku print T shirt, inawezekana, kugawa hizo printed t shirt pia inawezekana. Ishu inakuja kwenye kuzivaa na kutembea nazo. Sijui watapita mtaa gani. Labda wazivalie mtaa wao wa Lumumba. Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuzivaa hizo T - Shirt.
 
mwigulu acha mara moja kututumia sisi wachagga kama ngazi yako ya kukwea kisiasa.ogopa we are watching you
 
wewe mateso gani na nani anapata sijui akili yako ina kutu we vipi HAKUNA MWANACHADEMA ANAEONEWA WEWE

Samahani labda sikueleweka nilimaanisha kusema sio vizuri kutukana mashehe katika jambo ambalo hawajalitenda kwasababu sio mashehe wote wamesusia sensa. Isitoshe inaumiza sana kumtukana kiongozi wa kiroho wa dini nyingine. "Waombeeni wanaowaudhi''
 
Samahani labda sikueleweka nilimaanisha kusema sio vizuri kutukana mashehe katika jambo ambalo hawajalitenda kwasababu sio mashehe wote wamesusia sensa. Isitoshe inaumiza sana kumtukana kiongozi wa kiroho wa dini nyingine. "Waombeeni wanaowaudhi''

goood be blessed safi sana kwa ufafanuzi tunatakiwa tuwaombee kweli hata CCM
 
na WACHAGA TUTAMFUNGULIA MASHTAKA MWIGULU ngoja tutafute ushahidi atajuta MOSHI atapasikia kwenye BOMBA
 
leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya lumumba kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

mwigulu nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya m4c – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni movement 4 chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia movement 4 chagga (m4c), zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

zoezi hili linaendena sambamba na operation ya mwigulu ya kwenda igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya jumamosi kwani alikuwa anasubiria fusso waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za cdm ikamilike na walinunua vifaa mlimani city tayari tangu wiki iliyopita.

lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha cdm wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na ccm wakati wowote – fuatilieni waliogombea bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie cdm.

sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya udini na ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua liwalo na liwe.

ni mimi mpiga filimbi-

hatudanganyiki kama wanabisha warudishe nyuma uchaguz mkuu ufanyike mwaka huu.wataisoma.!
 
Mwigulu!!!!!!!!! Ameshalewa sifa, mwacheni aende Igunga, aulize akina Mukama wako wapi? Wameshabeba chao wameondoka! Nape Nnauye naye anajipikilisha data pale Lumumba, CCM mmekwisha.
 
Vipi mameno hayo angekuwa amesema Mwislamu? Msiwatendee wenzenu yale msiyoyapenda kutendewa..................hebu pata maumivu anayopata mwachadema mwenzio Muislamu>>>??????

mkuu nimekuelewa kwa busara zako. Lakini ni vema ungemuuliza yeye kwanza kwa nini kahusisha chadema na kanisa, na vipi maumivi anayoyapata Mkristu chadema kuhusishwa na RC.???
 
hivi wachagga sio watanzania? Kwanini ccm mnatuchukia hivi? Labda tuulize wachagga tuliwakosea nini ccm?
 
Mara hii tumewashika pabaya,kila mpangacho tunabaini,mtambo wa msg,kambi za vijana chinjachinja,silaha....
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-

CCM bana! Mnaudhi! Ila kiama kinakuja. Ipo siku tutawatia bakora magerezani kwa upuuzi wenu. Tumeshachoka ngoja tu
 
CCM kweli dhaifu!mpaka leo hawajagundua kuwa wanaoiua CCM na kuipaisha Chadema ni hawa vijana wajumbe wa Sekretarieti ya NEC,Mwigulu na Nape? Ama kweli ukizeeka huna kingine unachosubiri zaidi ya kifo. CCM imezeeka na sio kuwa inasubiri kifo tuu bali inawapenda hata wanaoiwekea sumu ili ife haraka. Kwa maana nyingine inatamani ife upesi.
 
Mara hii tumewashika pabaya,kila mpangacho tunabaini,mtambo wa msg,kambi za vijana chinjachinja,silaha....
 
MUNGU yupo na CDM daima,vile vile MUNGU Hashindwi jambo lolote.
 
Back
Top Bottom