Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-

Updates za leo jumapili tarehe 02.09.2012

Baada ya taarifa hii kurushwa hapa na mpango mzima kuwekwa hadharani , Mwigulu ameingia kwenye mgogoro mkubwa wa kifamilia na amefikia hatua ya kuwafukuza watoto wa kike aliokuwa anakaa nao nyumbani kwake Basihaya kuwa kuna nyaraka za vikao hazionekani na anaamini kuwa waliotoa taarifa hizi ni pamoja na wao. Hawa ni wale aliowatoa kijijini kwake kwa hoja kuwa atawasaidia kusoma lakini akawa anawafanya kama wake zake pindi mkewe akiwa hayupo .

Mkewe Mwigulu ni Mchagga wa Machame.

Kitendo cha kuwafukuza kikazua mambo mengine makubwa kati yake na watoto hao yakaibuliwa kwani wamemweleza Mkewe ambaye alikuwa msimamizi wa sensa mkoa wa Dodoma kuhusiana na jinsi alivyokuwa akiwalazimisha kufanya nao ngono kipindi akiwa hayupo na hali nyumbani imechafuka .
Kuhusu nyaraka anazodai kuwa zimeondolewa nyumbani kwake ni pamoja na zile za vikao kama bajeti za chama na nyinginezo mbalimbali za vikao mbalimbali vya CC ya CCM , NI lini zitawekwa hadharani nafikiri ni suala la muda tuu.

Fusso mpaka sasa bado ipo Tabata Dampo , inasubirio nini haijajulikana bado, kijana wake aliyemvisha zile t.shirts yaani James naye wamegombana sana kama ilivyo kwa wale vijana watatu wa CDM ambao walikuwa na mpango wa kujiunga na CCM sasa anawaona kama ni mashushushu waliotumwa kwenda kumchimba kwani amewaeleza kuwa haiwezekani kiasi cha pesa alichowapa kiweze kuandikwa bila wao kushiriki katika kutoa taarifa kwani hilo walifanya na mtu mmoja mmoja .

Kwa leo naishia hapo.
 
Watanzania wa leo hawadanganyiki, magamba watajaribu kutoka na singo tofauti bila mafanikio yoyote. Nadhani wangeweza zaidi kubadili mawazo ya watanzania kwa kutekeleza yale waliyowaahidi kwenye ilani yao ya uchaguzi badala ya propoganda za kizamani kama hizi.
 
Kila plan ina feli,wakuja na mbinu ya kila aina na itagundulika mapema kabla na mwisho wake kushindwa katika jina la yesu!
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-
You are a good whistle blower!! Tujipange tu wala usijali ukiona Tshirt za CCM zimetoka na nembo Chama Cha Mabwepande!! siasa hizo. Mbwa na Fisi watavishwa siku si nyingi!!
 
kama mwigulu ameweka m4c kwa anavyojua yeye,sawa.lakini wa watanzania wanajua chadema harakati zao zinaitwa movement 4 change,watanzania c wapumbavu kiasi hicho na mwigulu anatakiwa atambue hivyo kuwa watz wa sasa c wale alowadanganya 2010 kwenye uchaguzi!
 
Wahusika nadhani mmepata taarifa,fanyieni kazi.lakini mwigulu ajue anazidi kuimarisha chadema.
 
Kila linlofanywa na CDM wanaiga kweli CDM ndio chama tawala wanajianda kuwa wapinzani... walipinga Fuso kumbe wana huo mpango... helcopter wananunua lini????
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-
Mwigulu amekosea tu hiyo ni m4c maana yake no movement for catholic.
 
New challenges needs new methods to solve them. Hiki kitu CCM hawajifunzi kwa nini? Hizi mbinu za kikoloni mpaka lini?
 
Back
Top Bottom