Movies kali za weekend hii (Session 06)

Mule mule mie tena nilicheck mzee zote si unajua mtaalamu mwenyewe nazipata kwao, ukiielezea tu najua hii movie kali
Kweli mkuu upo updated! sema kuna ambazo sijazipatia tu wasaa ila ni nzuri sana! Mathalani FORGOTTEN, WOLF WARRIOR na OPERATION RED SEA (Kama mpenzi wa mapigano).
 
Hizo mbili Wolf warrior na operation red sea nimezicheck, ila hiyo forgotten ndo bado bado! Itabidi nijaze bando niichukue pia, mkuu maisha mafupi haya nikipata muda ni movie na mimi mwanzo mwisho, kwakweli tunaburudika
 
Real, mkuu. Maisha ndo hayahaya.

FORGOTTEN, OLDBOY, THE WOLF BRIGADE ... Zifanyir namna.
 
Movies mpya hizi ndugu yangu, mpaka tungoje kidogo ndo' subs ziwe tayari. Wamejitahidi kwani wametumia kiingereza ndani
alafu mkuu naona maelezo na trailer ya Mulan, na hiyo mulan uliyoiweka ni vitu viwili tofauti kabisa
nahisi umechenganya mafaili
 
nimeiangalia ndo maana nasema hivyo (japo na yenyewe ni Mulan ila trailer yake na story yake ni vitu viwili tofauti)
Utofauti ni upi kwenye trailer mzee? Haujamwona mzee na binti yake aloyejitoa kumnusuru baba yake na kikombe cha kujumuishwa jeshini? Hujamwona mwanamke mlozi na jeshi lake humo ndani mzee?
 
Si yule mwanamke mchawi anajibadilisha kuwa ndege (kwenye trailer) hayupo wala nini, wala wale watu wanapanda ukuta kwa kutembea kwa miguu, wala hakuna jeshi lolote la maana. movie sio hyo mkuu. haikonekani kama ni kazi ya Disney.
 
Wewe umetazams Mulan nyingine ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom