SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,658
- 24,661
- Thread starter
- #81
Pamoja bossBig up mzee baba kwa kutengeneza uzi wa kushusha vitu telegram
Pamoja bossBig up mzee baba kwa kutengeneza uzi wa kushusha vitu telegram
Movies Na Storiesmkuu naomba link ya channel yako ya telegram
Mkuu hii sözdizi ,umeicheki! Embu nidadavulie
Alone hii mkuu?Mkuu Steve Mollel naomba uangalie hizi Line of duty ya 2019, Alone na Prey then utanipa mrejesho
Ndio Mkuu
Nshaitazama mkuu.Ndio Mkuu
Marrionette bado mkuu huwa naipita tu huko Telegram, ngoja niifanyie kazi na mimi pia, Hiyo line of duty amecheza Aaron EckhartNshaitazama mkuu.
Hiyo Line of duty acha niifanyie kazi.
Ushaitazama Marionette?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Pia itafute na hiyo Prey ni nzuri sanaNshaitazama mkuu.
Hiyo Line of duty acha niifanyie kazi.
Ushaitazama Marionette?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
pia kuna DARD DIVORCE kama unapenda HorrorNshaitazama mkuu.
Hiyo Line of duty acha niifanyie kazi.
Ushaitazama Marionette?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Pamoja sana boss. Nimeona msg yako, tafadhali fanya kusearch vema kwenye channel maana mzigo nimeuweka mwenyeweNimekukubali mkuu
Nadhani umeona vitu kule chimbo..pia kuna DARD DIVORCE kama unapenda Horror
Hatari sana Mkuu, unafanya vizuriNadhani umeona vitu kule chimbo..
Bundle zetu za usiku inakuaje sasa, mkuu?Hatari sana Mkuu, unafanya vizuri
hatari kuna kitonga nilikua nateleza nacho cha bando nacho wameshakaba, umeicheki The admiral roaring currents ya kikoreaBundle zetu za usiku inakuaje sasa, mkuu?