Let's talk Movie: London has Fallen

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,190
Binafsi napenda sana filamu za Gerald Butler sababu story zake huwa ni logical, lakini hii ya London has fallen, mantiki ya story yake nina mashaka nayo.

Kwa mlioitazama filamu hii, kwa level ya protection ya heads of states, ukubwa, ujuzi na uzoefu wa MI6, Scotland Yard; Je, inawezekana kweli-in practice-kwa mtu kutekeleza uhalifu katika scale ile?
 
Back
Top Bottom