Movie uipendayo..??

neverthatserious

Senior Member
Jun 1, 2012
106
13
Tsup brother n sister ni wakati mwingine tena wa kubadilishina vi2 vyetu,
mimi ma best movie z bleach ya anord schwazznagger uzinduzi wake bado ila mi nimeiona kwenye ndoto,ni bonge moja la movie...
 
Kwa kweli hadi leo movie nzuri ni ya Yesu na Moses tena zile za kiswahili

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kwa sisi wapenzi wa movies ni ngumu kujadili kuwa filamu fulani ni nzuri, bali husema collection fulani ni nzuri, or a certain list of movies!
 
any Movie ambayo wapo Mastaaa wa NiGeria.... Hapo kwenyewe..

dah nimeamimi kwa nini tupo tofautitofauti
yani mimi movie ya kinigeria nikiiona tu na usingizi fofofo
sababu ni moja
kuna siku niliangalia movie ya kinigeria jina sikulishika
haikupita mda picha ile ile nikaona kwa wahindi vile vile tofauti wale weusi na hawa wahindi
picha hiyo hiyo nikaiona kwa wazungu maudhui yaleyale ya waniga na wahindi
sasa basi nikaamua kuchunguza ipi ya kwanza kutoka nikaona ni ya wazungu
ila sikuishia hapo ha ha kumbe wote hao watatu wamekopi novel wakaitengenezea picha
ila hiyo si sabau ila nahisi mimi na naija muvi tofauti
 
1 mrs doupt fire
1 apocalypto
2 the secre of mad black woman
3 saving privete ryana
4 hitman
5 black diamond
6 live
7 robin hood
8 brave heart
9 gladiator
10 megan is missing
 
The Next general manager
tena hii ni fundisho kwa wapenda madaraka
 
1.Sarafina
2.the last king of scotland(loo ilinitia aibu kwa baba hii siku najidai picha nzuri naweka tuangalie wote loo tumeanza vizuri akaisifia akaipenda sasa bwana kuna sehemu mke mdogo wa idd amin anafanya mapenzi na yule kijana wa kizungu anaonyeshwa live hata hawajaficha loo imagine uko na baba yako hapo mnaangalia nilipataje usingizi wa ghafla!! loo
ila nilipata funzo tokea siku ile siweki movie baba akiwepo hata picha iweje siiweki mpaka aondoke akiwepo ninaweka siasa au taarifa ya habari)
 
1. The town
2. Undisputed 2&3
3. Balck howk down
4. The most wanted
5. Piranha 1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom