Underworld ya kwanza, I like the storyline btn wolves and vampires..
Totsi, finding nemo ya kwanza, love and basketball, he got game, bila kusahau tausi ni ndege wangu those days itv... My best series
Na nyingine ktk List hyo za Kutisha sana na Kuogofya ni
1. Go To Hell
2. Land of Dead
3. IT
4. Saw part 1-4
5. The 13th
6. The Texsas Jinsaw
7. The Hills have Eyes
8. Hostel
9. Baby Sitters
10. Wraped
11. Collection of CreepShow
12. The Slither
na nyingine nyingi sana.
Karibu zote mlizoorodhesha Madame B na Asprin ni matokeo ya mwandishi mmoja from PORTLAND, MAINE US anaitwa Stephen King. Ukisoma vitabu vyake utashindwa kulala. VINATISHA!

Kwani Stephen King ni mwandishi?
Mwandishi ni mtoto wake ambae ameandika vitabu vingi sana vinavyohusu mambo ya Mizimu na Majini.
Na moja ya kazi yake ni 'Ghost Wind na Ghost Castle'
Aisee ukikisoma hivo vitabu usiku unaweza usilale.
Madame B wewe mwandishi me movie maker, NANUNUA haki ya kutengeneza movie ya novel yako, at the same time vitabu vinaendelea kuuzwa. Same to Steph King

Kwa hiyo alichosema Bishanga kuwa wewe ni staff hapo Fyatanga na Asprin na wakeze ni cha kweli Madame B? Nway ahsante wangu! Leo Arusha kumekucha bariiidi dawa ni supu tu.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.