Dah Mtume sijui nitakunywa nini sasa mimi napendelea Safari Lager sasa kuzoea Serengeti itanichukua muda mrefu labda nihamie kwenye Ze Kick labda.
Teh teh theDah Mtume sijui nitakunywa nini sasa mimi napendelea Safari Lager sasa kuzoea Serengeti itanichukua muda mrefu labda nihamie kwenye Ze Kick labda.
Teh teh the
Ze Kick haikufahi mpwa na kuchauri utumie Ze Bingwa
tutakunywa juice? TANZANIA BREWERIES YAUNGUA MOTO
Habari kamili ni kuwa kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) imeungua moto tangu usiku wa saa tisa ya kuamkia leo.... mpaka sasa moto unazidi kuendelea chanzo halisi akijajulikana...
Wenye habari zaidi tunaomba mtumwagie jamvini.......
Teh teh the
Ze Kick haikufahi mpwa na kuchauri utumie Ze Bingwa
Kama bado unapenda bia za TBL itabidi unywe BALIMI Extra Lager