Moja ya stoo za creti kiwanda cha bia (TBL) imeungua moto

Wadau habari za kusikitisha hizi,Juzi ajali mbaya ya Basi Korogwe...Jana ajali ya moto katika meli na leo alfajiri...ajali ya moto TBL Dar plant... Natumaini tukio hili halitaathiri distribution. Mdau Tusker Bariiiidi. SOUTHERN HIGHLANDS. Mbeya.
 
Usiku wa kuamkia leo kiwanda cha bia TBL kimewaka moto upande wa crates tupu, ni moto mkubwa sana, hadi sasa haijajulikana hasara iliyopatikana.hawa watu wapo makini sana na majanga sasa hili sijui ni nani ataevishwa shanga!! chanzo insider
 
Poleni sana TBL. I hope mnayo stock ya kutosha kuuza kwa kipindi chote mtakachokua kwenye ukarabati.
 
Habari zilizotufikia hivi punde kuwa kiwanda cha Bia TBL kinaungua watu wa Fire wameishiwa maji ya kuzimia na kurudi airpot kuchota maji kwa kuwa hakuna miundo mbinu ya maji (horse) za kuchotea maji jirani na kiwanda habari nyingine na chanzo tutawaletea baadae.......
 
Dah Mtume sijui nitakunywa nini sasa mimi napendelea Safari Lager sasa kuzoea Serengeti itanichukua muda mrefu labda nihamie kwenye Ze Kick labda.
 
Ile ya meli yenye shehena ya chakula kuungua jana haikunigusa saaaana, lakini hii ya TBL, i wish na mm niondoke ofcn nikasaidieane na fire kuuzima huo moto coz mm mke wangu mkubwa ni TUSKER!
 
Dah Mtume sijui nitakunywa nini sasa mimi napendelea Safari Lager sasa kuzoea Serengeti itanichukua muda mrefu labda nihamie kwenye Ze Kick labda.

jamani kiwanda kinapiga mzigo kama kawa!!, ni sehemu ndogo tu ya stoo ndo imeungua, mitambo iko gado, ugimbi kama kawaida, castle barrrrrriiiiiidi.
icon10.gif
 
Dah Mtume sijui nitakunywa nini sasa mimi napendelea Safari Lager sasa kuzoea Serengeti itanichukua muda mrefu labda nihamie kwenye Ze Kick labda.
Teh teh the
Ze Kick haikufahi mpwa na kuchauri utumie Ze Bingwa
 
tutakunywa juice? TANZANIA BREWERIES YAUNGUA MOTO

Habari kamili ni kuwa kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) imeungua moto tangu usiku wa saa tisa ya kuamkia leo.... mpaka sasa moto unazidi kuendelea chanzo halisi akijajulikana...

Wenye habari zaidi tunaomba mtumwagie jamvini.......

Jamaa ndio wanataka kuondoka nini kijanja maana sasa hivi mambo mengi yanakwenda kisanii
 
Eti wanasema:-
Kutokana na kuungua kwa TBL majira ya saa7 usiku, Bei za bia kwa dar zitapanda kwa mda usiojulikana na bia moja itauzwa sh elfu 10,000. TBL inaomba radhi kwa wateja wake na inapenda kuwadokeza walevi wote kwenda kulewa mikoani!
 
Hii ni hujuma kabisa, kwanini viwanda vya maji ya uhai ama vya coca cola na pepsi hajaungua?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom