Stoo ya vifaa kiwanda Cha sukari Moshi yateketetea kwa moto

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,832
Stoo ya vifaa vya kiwanda cha sukari TPC Moshi yateketea kwa moto usiku huu. Juhudi za kuuzima na kujua chanzo chake zinaendelea.

Chanzo: Habarileo
 
Back
Top Bottom