Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
kuna mwizi mmoja wa simu ni kiboko.
Akiiba simu anatumbukiza chooni.
Ukiitrack unakutana na harufu kali.
Akiiba simu anatumbukiza chooni.
Ukiitrack unakutana na harufu kali.
kuna mwizi mmoja wa simu ni kiboko.
Akiiba simu anatumbukiza chooni.
Ukiitrack unakutana na harufu kali.
Big up,
Sasa hiyo mobile tracker ipo kwenye simu zote za samsung? na inasetiwa vipi?
hiyo nimeipenda!vp nokia wanayo hiyo program ili nasi tuenjoy maana tumechoka kuibiwa simu
Hata Nokia zna application inayoitwa f secure, na nyngne nyng ambazo znaweza kukufanikisha kupata cmu yako kirahc endapo itaibiwa. Inapobadlshwa sim card tu hutuma meseji kwenye trusted number ulyoiset.. Pia application hzo zina ant virus nzuri. Na unao uwezo wa kuscan simu na Memory card kwa kutumia hzo ant virus, pia ant virus hzo zna secure browser yoyote ktk internet ili kuhakiki kuwa hakuna kirusi kitakachoingia katika simu.... Ni aplication nzuri sana kwa wale wanaotumia simu za kisasa...
unatumia nokia ya aina gani?
Helow JF
wakasema kuwa wao ni wafanya biashara wa kuku na alikuja teja pale buguruni akawauzia simu sh elfu 30 so walivyoona wamejulikana waka taka kuuza kwa hiyo 60. tukawaambia maelezo yote mtatoapolisi pamoja na kesi mbalimbali za wizi..
jamaaa wakaanza kuomba watoe PESA....aha kila mmoja akatoa elfu 50. tuka washuka nje ya kituo cha buguruni wakatoka nduki halafu sisi tukaingia kituoni na kuzuga zuga na kuondoka zetu kunywa BEEEEEER!!!!
MWISHO
Kama una samsung usizalau application ya mobile tracker itakusaidia kurudisha simu yako.
Mi nataka ku download hiyo kitu nipe address
nokia e71