nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
how do we positively air this interview??..PressTV - Western exploitation of Tanzania for gold, moral outcrykama mkutano wa faragha yanini kuutolea maelezo.
how do we positively air this interview??..PressTV - Western exploitation of Tanzania for gold, moral outcrykama mkutano wa faragha yanini kuutolea maelezo.
Mkuu, naomba maelezo ya hapo red.Shardcole tulia,chademda ni chama makini kuliko hata wananchi,umakini wao ndio umekufikisha hapo had ukawakubal,lazm uwaamini viongz kwan angalia walipotutoa na wanapotuelekeza twende,kumbuka mwananch wa leo si wa enz zile.nafaham kuna meng viongoz wetu hawa wanakutana nayo na kuyatatua.na ndio maana tuko tusonga mbele
Ungesaidia walau hata kusema mitandao gani hiyo. Ilipaswa kuwa sehemu muhimu ya hoja zako. Lakini pia Kamanda gani huyo anatiwa hofu na kiwewe kikubwa kwa tetesi tu!!! Lakini pia ni vigumu sana kuthibitisha kuwa wanamabadiliko wote nchini wameingiwa hofu...ati kwa sababu tu mmoja ameingiwa hofu! Kamanda vipi
Shardcole tulia,chademda ni chama makini kuliko hata wananchi,umakini wao ndio umekufikisha hapo had ukawakubal,lazm uwaamini viongz kwan angalia walipotutoa na wanapotuelekeza twende,kumbuka mwananch wa leo si wa enz zile.nafaham kuna meng viongoz wetu hawa wanakutana nayo na kuyatatua.na ndio maana tuko tusonga mbele