Sengondo Mvungi kwa kuhitimisha anasema ndani ya NCCR ukiota gamba wanakuvua hawasubiri ujivue mwenyewe.
vijana watatoka wapi wakati ndiyo hao wanaofukuzwa kwenye chama?NCCR hawana vijana? Dr Mvungi ni kizazi cha kale
nakubaliana na wewe lakini hili la nape hata kama angekua malaika pale asingeweza kufanya zaidi ya nape...huo ujasiri wa mwendawazimu wa kutetea chama kilichooza anao nape tu!Tathmini yangu: Mnyika alikuwa makini sana, kaondoka na kura nyingi kuliko wote, kwani hoja zake ziliweka maslahi ya taifa mbele kuliko kitu kingine chochote; Mvungi naye amefanya vizuri sana, hasa kusisitiza kwamba hakuna mkubwa kuliko chama; Mtatiro naye amejitahidi sana to balance between chama na maslahi ya taifa; Nape hakuwa yule tunayemjua, alipwaya sana, na nina uhakika akitazama kipindi tena, atakubali hilo; hakuwa na hoja ya maana kwani hoja zote, Mnyika na Mtatiro walimfunika, tena sio kidogo. Ingekuwa jambo jema sana kuwakutanisha watu hawa kila baada ya muda fulani. Hitimisho la Mtatiro litakuwa gumzo kubwa kwa siku za usoni huko makao makuu CCM.
nakubaliana na wewe lakini hili la nape hata kama angekua malaika pale asingeweza kufanya zaidi ya nape...huo ujasiri wa mwendawazimu wa kutetea chama kilichooza anao nape tu!