Maulanga achafua hali ya hewa kipindi cha Kipima Joto ITV, adai wasio Watanzania wasithubutu kushiriki Sensa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,044
Kipindi cha Kipima Joto ITV kinazungumza umuhimu wa Wananchi kuhesabiwa siku ya Sensa

Mshiriki wa kipindi hicho ndugu Maulanga ambaye ni Balozi wa amani alitoa Onyo kwamba raia wa kigeni wanaoishi nchini wasithubutu kushiriki zoezi la Sensa nchini

Hata hivyo mratibu wa Sensa mkoa wa Dar es salaam ameingilia Kati na kusema Watu Wote wanapaswa kuhesabiwa siku hiyo tofauti na kauli ya Maulanga

Maulanga ameomba radhi kwa upotoshaji aliofanya amesema alikuwa hajui hivyo amejifunza

Source ITV
 
Muandaaji wa kipindi amejuta kumualika huyo mbwiga that why kila akimpa nafasi kuchangia gafla mtangazaji anamkatisha, maana alikuwa anaongea pumba tupu.

Kila akichangia anamtaja Samia utadhani issue ya sensa ni ya serikali, wkt tunajua ni issue ya UN ndiyo wametoa fedha (duniani)
 
Elimu Elimu, Elimu..... nakumbuka tatizo kubwa la watanzania tuliyo wengi ni elimu.... Aiwezekani unasimama kwenye media kubwa kama hiyo then unaongea Rubbish without fact

Swala la sensa ni kujua idadi halisi ya watu na makazi yao ...so unapotaka wageni wasiesabiwe maana yake ni nini!!! Kwa ufupi utambuzi wake ipo chini sana
 
Kipindi cha Kipima Joto ITV kinazungumza umuhimu wa Wananchi kuhesabiwa siku ya Sensa

Mshiriki wa kipindi hicho ndugu Maulanga ambaye ni Balozi wa amani alitoa Onyo kwamba raia wa kigeni wanaoishi nchini wasithubutu kushiriki zoezi la Sensa nchini

Hata hivyo mratibu wa Sensa mkoa wa Dar es salaam ameingilia Kati na kusema Watu Wote wanapaswa kuhesabiwa siku hiyo tofauti na kauli ya Maulanga

Maulanga ameomba radhi kwa upotoshaji aliofanya amesema alikuwa hajui hivyo amejifunza

Source ITV
Khaaaa
 
Mbona hakushangaa raia wa kigeni kupewa vitambulisho vya Nida? Lengo la sensa si kujua idadi ya raia bali idadi ya watu. Nchi zilizoendelea wao hawafanyi sensa kama sisi maana walishatengeneza mfumo wa kujihesabu. Mtoto akizaliwa anapewa SSN(social security number) huku tunaita number ya nida na kuingizwa kwenye system, mtu akifa anaonndolewa kwenye system. Vile vile raia wa kigeni wakiingia ni lazima wawe na hiyo number ya SSN ili kuingizwa kwenye system ambapo anaingizwa kwenye idadi ya watu moja kwa moja akiondoka anaonndolewa kwenye system. Na Mgeni hawezi kufanya kitu chochote bila kuwa na hiyo SSN
 
Risasi Maulanga baba yake alikuwa TISS, nakumbuka hata msiba wa baba yake mzee Kikwete alikuja. Huyu jamaa anabebwa sana na chama hususani alisaidia sana CCM kumpigia kampeni Kikwete hivyo akapewa ubalozi wa amani. Ila namjua kwa karibu ni jamaa flani wa kawaida mweupe tu kichwani na maneni mengi hivi.

Kuna siku nimepita nyumbani kwake nikakuta kavaa kanga anapiga mswaki nje ilikuwa 2012 aisee nilicheka sana. .
 
Picha ya Risasi Maulanga
122345_n.jpg
 
Hivi tukisema Tanzania Ina population ya watu milioni 60 huwa Ina jumuisha raia na wasio raia kumbe, basi sensa ni siasa tu
 
Risasi Maulanga baba yake alikuwa TISS, nakumbuka hata msiba wa baba yake mzee Kikwete alikuja. Huyu jamaa anabebwa sana na chama hususani alisaidia sana CCM kumpigia kampeni Kikwete hivyo akapewa ubalozi wa amani. Ila namjua kwa karibu ni jamaa flani wa kawaida mweupe tu kichwani na maneni mengi hivi.

Kuna siku nimepita nyumbani kwake nikakuta kavaa kanga anapiga mswaki nje ilikuwa 2012 aisee nilicheka sana. .

Dah hehehe hahaah

Khanga tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom