Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
km kichwa cha habari kinavyojieleza mvungi ndo kaanza kuchambua hapa
 
Mada ni mamlaka ya kuwafukuza wabunge je yarudishwe kwa wananchi? sasa nape anaongea
 
kipima joto ITV kinaendelea sasa.wageni ni Dr Mvungi NCCR,Nape -CCM,Mtatiro-CUF na MNYIKA-Chadema.
 
Agenda ni hatua za vyama kutimua wanachama vizabizabina.........
 
Mada nzuri, ila nionavyo wote wataunga mkono hoja ya fukuzafukuza kwa mitizamo tofauti.
 
Wana JF.
ITV: kuna mada ya wabunge na madiwani kufukuzwa kwenye nafasi zao..

Wageni ni Dr Mvungi, John Mnyika, Julias Mtatiro, Nape Nnauye.
 
kipima joto ITV kinaendelea sasa.wageni ni Dr Mvungi NCCR,Nape -CCM,Mtatiro-CUF na MNYIKA-Chadema.mnyika anaongea sasa.
 
wanaongelea nidhamu zaidi,katiba,kanuni,maadili na itifaki ya chama ndo inaangaliwa zaidi
 
mwaka 1968 mwl nyerere alifukuza watu 7 waliokuwa wanahoji kwanini chama kiwe juu ya Bunge? waziri mkuu alikuwa kawawa. Tanu walikaa kikao Tanga wakafukuzwa watu. anasema mnyika. Mia
 
mnyika anasema CHADEMA wataendelea kuonyesha mfano kwa wale wanao tishia maslahi ya nchi au ya chama. mia
 
Back
Top Bottom