Kwa kutunza nidhamu ya vyama fukuzeni tu!
Solution wanaijua lakini wote hawataki kuizungumza kwani iapunguza authority kubwa sana kwa vyama na itaondosha bullying wabunge na viongozi wengine wa chama ambao wako against na baadhi ya sera za vyama. Solution yenyewe ni kuruhusu mgombea binafsi kwani hata mbunge akifukuzwa kutoka kwenye chama ana uwezo wa ku-retain kiti chake cha ubunge kama ni mbunge wa kujitegemea au mtu anaweza kutoka kwenye chama na kubaki kuwa mbunge vile vile na hiyo itaepusha nchi na gharama zaidi za uchaguzi.na proposal ambayo CCM wanaitaka ya kuwa mtu akipoteza ubunge au akifa basi chama kimteuwe mtu wa kushika nafasi yake. hiyo pia ni ujanja mmoja wa kuendeleza ukiritimba wa vyama vyetu,kwani itawahakikishia ya uwa kile kiti hawakipotezi na kumfukuza uanachama mtu itakuwa ni rahisi tu.lakini kurudiwa kwa uchaguzi wanakuwa hawana uhakika wa kushinda tena...once katiba ikiruhusu mgombea binafsi basi vyama viruhisiwe kum replace mbunge once kama mbunge atakufa.