majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
wee nae nini? hizi ni habari za jimbo la ubungo ambalo lipo Tanganyika, nyie wazenji mapovu ya nini?
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Tutashinda John, usiogope, hata Kikwete hataki utoke bungeni, trust me! Nilidrive toka arusha na vijana wenzangu tukaja kupiga kura ubungo maana huko ndo yulijiandkisha tukiwa UDSM.
Com' again fool!!
Msamehe bure we umeshasema yuko barazani je unategemea nini kutoka kwa mtu aliyeko barazani na barakashea na kanzu kutwa; ni lazima pointi zitamwishia na kuanza kubwabwaja.!!!
Aiseeeee hivi mtu unaweza kusihi mwanza ukajiandikisha Morogoro?
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Kila la kheri Mhe. J. J. Mnyika,
Na Mungu akatangulie kwani katika yeye Haki Hutawala dhidi ya Giza na Udhalimu wa shetani.
Kwa post kama hii sidhani hata kama ulipiga kura mkuu,maana waonyesha kwamba haya mambo huyafahamu kabisa mkuu!
Tutashinda John, usiogope, hata Kikwete hataki utoke bungeni , trust me! Nilidrive toka arusha na vijana wenzangu tukaja kupiga kura ubungo maana huko ndo yulijiandkisha tukiwa UDSM.
Nijuavyo kama unaishi kimara utapiga kura kimara na ikiwa umehama utaenda kujiandikisha kwenye makazi mapya wakati wa kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura. Hii ya kukaa Arusha na kupiga kura Ubungo ni mpya kwangu sorry lakini kama nitakuwa nimekosea ila mimi hivyo ndio nijuavyo!