Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

Hivi wewe Tume ya katiba hata kujiheshimu kidogo huwezi?acha kujidharirisha eti sababu unatumia fake ID na unaamini watu hawakujui,jiheshimu mkuu wewe mtu mzima sasa.
 
Last edited by a moderator:
Msamehe bure we umeshasema yuko barazani je unategemea nini kutoka kwa mtu aliyeko barazani na barakashea na kanzu kutwa; ni lazima pointi zitamwishia na kuanza kubwabwaja.!!!

Mkuu Mvumbuzi,nahakika wewe unaheshima zako nyingi sana ila kwa swala hilo linalo gusa dini kuyaunganisha na siasa sidhani kama utakua sahihi,kwani kwa imani ya dini ya kiislam kanzu na kidani ni vitu vya heshima kiimani na mjinga mmoja usimwazibu pamoja na kukandia dini zetu mkuu!!
 
"Tume ya katiba" nakuona unaandika pumba tu,hujatulia kama mcheza shoo wa akudo.
 
John mungu yupo nawe na twaamini hukutumia dhuluma kuwepo ulipo na utabaki ulipo mkuu nakumbuka day ulipokuja kutuomba kura pale kimara ukiongozana na Mheshimiwa Zitto!
 
siku zote ukibishana na mwendawazimu, pia ww utaonekana mwendawazimu! Na mtu mwenye 'HEKIMA' Huwa hapotezi muda wake kulumbana na mtu wa aina hiyo.

Na umaarufu wa mwendawazimu huwa hauishi milele! Ni sawa sawa na majivu yakiwa angani. Hata km yakiwa mengi kiasi gani yatamezwa na upepo tu.....

Tume ya katiba! Tunapokuwa tunajadili mambo ya maana! Tunakuomba hujiheshimu tafadhal.

Back to the topic! Mh J. Mnyika usijal tupo pamoja. Tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
 
Kila la kheri Mhe. J. J. Mnyika,
Na Mungu akatangulie kwani katika yeye Haki Hutawala dhidi ya Giza na Udhalimu wa shetani.

Hivi hoja za mlalamikaji/walalamikaji ni zipi? au nae wanasema alitumia lugha chafu?aliiba kura?
 
Kwa post kama hii sidhani hata kama ulipiga kura mkuu,maana waonyesha kwamba haya mambo huyafahamu kabisa mkuu!

Nijuavyo kama unaishi kimara utapiga kura kimara na ikiwa umehama utaenda kujiandikisha kwenye makazi mapya wakati wa kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura. Hii ya kukaa Arusha na kupiga kura Ubungo ni mpya kwangu sorry lakini kama nitakuwa nimekosea ila mimi hivyo ndio nijuavyo!
 
.......mti wenye matunda mazuri upigwa mawe, lkn kamwe hauwezi kukoma ku-produce kwa kuogopa hayo mawe; lkn pia haki huwa aizuiliwi bali ucheleweshwa: hivyo Ndg. Mnyika husitie shaka ushindi upo.
 
Pole Mh. Myika tunakutakia kila la heri mbunge wetu makini na mahiri sisi wananchi wa MBEZI-MSUMI tunakuombea kwa mola ushinde na tuwe pamoja katika kuendelea kututatulia kero zetu. Mpaka sasa hatuna maji, umeme na barabara ni mbovu sana.
 
Nijuavyo kama unaishi kimara utapiga kura kimara na ikiwa umehama utaenda kujiandikisha kwenye makazi mapya wakati wa kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura. Hii ya kukaa Arusha na kupiga kura Ubungo ni mpya kwangu sorry lakini kama nitakuwa nimekosea ila mimi hivyo ndio nijuavyo!

hujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom