Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,413
- 1,534
Nahisi ban inaninyemelea!
A very courageous message from a less ambitious but more determined young politician
God bless you JJ.
Tumwombe Mungu haki itendeke hapo kesho isiwe kama Segerea.
Hapa unachangia au unaku+*&^^n8a!!Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Mnyika "Mpaka sasa nimeandika
kurasa 21 za mchango wangu
kuhusu majumisho (final
submission) kutoka katika rundo
la rejea za hukumu mbalimbali
zenye misingi muhimu ya kisheria
(fundamental legal principles).
Naendelea na mkesha kama wa
Loyola kupitia kurasa 111 za
mwenendo wa kesi (court
proceedings), Nikimaliza
namwachia wakili wetu aendelee
kwa upande wake, tutakutana
mahakamani kesho tarehe
4 Mei 2012. Nasikia adhana, Hayya
alas-swalaah; Tulitafuta kura
pamoja, tukapiga kura pamoja,
tukazilinda kura pamoja;, kwa
pamoja tutaendelea kushinda.
AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza"
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Hivi hoja za mlalamikaji/walalamikaji ni zipi? au nae wanasema alitumia lugha chafu?aliiba kura?
Nahisi ban inaninyemelea!
Hoja mojawapo ni matumizi ya laptop 4 za Mnyika kujumlishia matokeo BADALA ya kutumia Laptop za Tume ya Uchaguzi tu kama ilivyoanishwa katika kanuni za uchaguzi
hujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?
Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!
Ikumbukwe wakati ule Vyuo vyote vilifungwa na wanachuo wakawa makwao waliko wazazi/walezi wao. Wakati wa kurekebisha Daftari alikuwa chuoni nakufanya hivyo akiwa na uhakika kuwa wakati wa uchaguzi atakuwa chuoni kwani kulingana na ratiba za vyuo vingi ilitakiwa viwe vimefunguliwa na wanachuo kuwepo huko. Nikumbukavyo mimi kulikuwa na harakati nyingi za kutaka wanavyuo watimize HAKI yao ya KIMSINGI ya kuchagua, Serikali na Tume ya uchaguzi ikagoma kuwatimizia hilo. Vijana hao walijua nini HAKI yao ndiyo maana walifanya hinyo HONGERENI!!! Pia naamini kuwazuia wanavyuo kurejea vyuoni ilikuwa mpango mkakati wa Magamba ili wapunguze nguvu za wapinzani Dar (UDSM Ardhi nk) MZW (SAUT) Idodomia (UDOM) nk nkhujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?