Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

Mnyika, naomba ajue hasira zake zaweza kutuulia chama, ni kwa nini ampe adui nafasi? sasa ajiandae mahakamani atapelekwa na huyu jamaa, na sifa ya chama inazidi kuharibika,
Kama kweli ni kama unavyoelekea kusema ningependa kusema tu vuta subira usiwe na uwoga. Mimi niliisha kutishiwa kupelekwa mahakamani. Uwoga wetu wakati mwingine haujengi. Nchi hii naona sasa itakombolewa tu na watu serious wanaotafuta ukweli bila itikadi, wasio na uwoga wa kupelekwa mahakamani palipo na ukweli. Kama mtu ni mchafu ni dhahiri utaogopa kupelekwa mahakamani au hata kunyooshewa kidole. Kama kuna hoja inatumiwa kuiua Chadema ni hii ya msiba ni kwa msingi huo nimeona nisikae kimya bila kuingilia wakati ninaona dhahiri nina mchango wa kutoa. Utafiti uliofanyika kuhusu kilichoandikwa kwenye magezeti 8 yakiendelea kuachiwa ni uhai wenyewe wa Chadema unatishiwa. Tukisubiri wakati nyumba imebomoka hatuwatendei haki wanachadema wa kweli wala ukweli wala Taifa. Mara kadhaa nafasi ya Mnyika imeulizwa kwenye JF. Cheo alichomia Mnyika wakati anaandika Barua kwa IGP ni Kaimu Katibu Mkuu hakutumia Naibu Katibu Mkuu. Ni muhimu kuwa makini katika kusoma kabla ya kutoa hoja hizi zinazoweza kuchanganya. Kaimu Katibu Mkuu ni mtu anayeachiwa Ofisi wakati Mhusika Mkuu wa Ofisi yaani (Substantive Officer) yuko nje ya Ofisi kwa muda wa kutosha. Pamoja na hilo Chadema kwa kawaida anakaimu nafasi ya Kaimu Katibu Mkuu Mhe. Victor Kimesera, ambaye kwa wakati huo alikuwa Kiteto kwa shughuli nyingine za Chama. La muhimu ni kuwa Katibu Mkuu katika hatua zote anakuwa Consulted na kwa mambo makubwa na hasa yenye sura ya kisheria anatoa Tamko la aina hiyo mwenyewe. Isitoshe, Chadema inaongozwa 'collegially" kwa kutumia vikao vya Sekretariat. Kwa kawaida, isipokuwa katika dharura ya ajabu kama ipo Sekretariat inakuwa imepitia maamuzi yote ya kichama yanayotolewa chini ya muhuri wa Chama na hivyo kwa jina la chadema. utaratibu huu ukieleweka natumaini tutazungumza lugha moja tunayoelewana wote.
 
Hapana mie sio Rostam ila naheshimu sheria na utu wa mtu, Mnyika angekuwa mwembeyanga ningesema hiyo ni political platform, ila kwa hili hapana utanisamehe.

kiranja wa wizi serikalini ni PAC, hebu tuwaulize kabarou, cheyo..... zitto, hazina yetu ikowapi? Kumdhihaki Rostam sio suruhisho, kama wameshindwa kubweka basi PAC irudi CCM. Asingekuwa Rostam tusingejua tabia ya mtikila, sawasawa?
 
Mh D.W Slaa..
Napenda kuchukuwa fursa hii kuuliza kile ambacho bado hamjataka kunijibu either kwa kupuuzia ama labda kwa kuona hakuna umuhimu huo.

Kama kweli mnapinga ukabila...Then naomba muwe HONEST na ili kweli tuweze kuja pamoja bila chuki.

Na kwenye posting yako uliyomjibu Isaya Mwita..Ni jibu ambalo liko deircted kwangu kwani mimi ndio nilikosea na kusema ni makamu Mwenyekiti badala ya kaimu makamu.

Sasa kwasababu umeshaweka wazi kuwa yeye ni kaimu katibu mkuu...Napenda maelezo HONEST kutoka kwenu...Na mkiweza kunieleza vizuri basi na mimi nitakubali tu..Kwani wakuu mtakuwa mmeshiriki kunifundisha historia kamili ya Tanzania.

Mnyika...Kwenye ile thread ya mashujaa wa Tanzania iliyopostiwa naMpaka Kieleweke...Alisema wazi kuwa Mangi Sina ni MSALITI kwa kumsaliti mangi MELI dhidi ya WADACHI!?

Sasa mheshimiwa...Naomba muweke rekodi straight kwasababu mwenyekiti ni mmachame na bado hamjanieleza USALITI WA SINA.

Kama ni kweli alisaliti..Niambieni..Kwasababu labda mimi kuwa mjukuu wa Sina...Hakuna anayeweza kuniambia UBAYA wa BABU YANGU HUYO KUHUSIANA NA USALITI WA TAIFA LETU.

Nitashukuru sana...Kwani hata marehemu amesababisha nyie kuhusishwa na kifo chake kwa kuwa hamkujibu tuhuma za UKABILA wala kuzifanyia kazi.

Hata ile tume ya Mziray ilionekana ni USALITI!?

Na mimi na UKABILA NI MBALI MBALI...Hata ndugu zangu wamachame wanjuwa kuwa mimi huwa na reach out bila matatizo..Napenda ushirikiano...UNAFIKI SITAKI!

Kama mnataka ushirikiano wa wachagga wote wekeni wazi mambo mengine ili tusonge mble na kama mki prove kuwa SINA alikuwa MSALITI...Basi sitakuwa na kinyongo wala nini na nitasonga mbele tu.
 
Dr. asante kwa ufafanuzi,kama aliweza kumwandikia barua IGP, iweje ashindwe kumwandikia mbunge Rostam? au kufanya press!
 
Swala la BAKITA kutupa maana halipo hapa, lugha ubadilika, ukua uzaliwa, n.k neno moja hapa linaweza likawa na maana nyingine sehemu nyingine, MAANA YA FISADI NI FISADI KWA MAANA YA FISADI NCHINI KWETU

Wajumbe huu ufafanuzi umetulia kabisa! Wale wagumu kuelewa someni marambimbili ili muuelewe huu ufafanuzi ambao umetolewa!
THINK BIG
 
Jmushi1,
Kama mnataka ushirikiano wa wachagga wote wekeni wazi mambo mengine ili tusonge mble na kama mki prove kuwa SINA alikuwa MSALITI...Basi sitakuwa na kinyongo wala nini na nitasonga mbele tu.
Mkuu haya maswali yako yote yamejaa Ukabila na nakuomba sana habari kama hizi mtumie Dr. Slaa PM..
Mambo Ya Wachagga sisi hayatuhusu kabisa na wala binafsi siombi ushirikiano wa Wachagga wote dhidi ya nani?
 
Kama mnataka ushirikiano wa wachagga wote wekeni wazi mambo mengine ili tusonge mble na kama mki prove kuwa SINA alikuwa MSALITI...Basi sitakuwa na kinyongo wala nini na nitasonga mbele tu.

Nimesoma kwa makini sana na hoja zako na nimeamua kuchukua quote hii. Inavyoonesha unachukulia CHADEMA NA UCHAGA. Unamtega Dr. Slaa ajibu lakini maswali yako yote yanalenga uchagani!
Kwa hiyo wewe unataka akueleze ili ujiunge kwa kuwa ni chama cha kikabila! Mbona unaonekana na mawazo finyu hivi! Bado mpaka leo unafikiri na maswala ya kikabila mkuu. Naamini CHADEMA wamejifunza na watajirekebisha hasa kwani historia imeshaandikwa ya aliyoyayesema wangwe.Sasa wewe unaturudisha kulekule ambako hatukuhitaji mkuu! Tafuta maswali ya kumuuliza Dr. Slaa siyo upuuzi huo!
 
Dr. asante kwa ufafanuzi,kama aliweza kumwandikia barua IGP, iweje ashindwe kumwandikia mbunge Rostam? au kufanya press!

Hivi jamani nani kasema press is everything, mawasiliano ni kwa njia yoyote RA ni Polisi? mawasiliano yake na RA ni wawili tu press akaseme nini? kuwa RA fisadi?? nani hajui?? yaani itafikia mpaka mtu anataka kuoa akusanye press.Hii idea inatokea wapi??

who said that every comminication has to involve press ? what if that communication was personal na aliyetoa siri ni nani si yeye RA?? NARUDIA WEWE NI ROSTAM AU UKO KARIBU NA ROSTAM, MAANA UMEJIWEKA UPANDE WA ROSTAM, VYOMBO VYAKE VYA HABARI, HUJAJIWEKA WEWE NI MWANYIKA USINGIZIWE UMEUA HALAFU UKAE KIMYA, ACHA UNAFIKI

Waberoya
 
Mh D.W Slaa..
Napenda kuchukuwa fursa hii kuuliza kile ambacho bado hamjataka kunijibu either kwa kupuuzia ama labda kwa kuona hakuna umuhimu huo.

Kama kweli mnapinga ukabila...Then naomba muwe HONEST na ili kweli tuweze kuja pamoja bila chuki.

Na kwenye posting yako uliyomjibu Isaya Mwita..Ni jibu ambalo liko deircted kwangu kwani mimi ndio nilikosea na kusema ni makamu Mwenyekiti badala ya kaimu makamu.

Sasa kwasababu umeshaweka wazi kuwa yeye ni kaimu katibu mkuu...Napenda maelezo HONEST kutoka kwenu...Na mkiweza kunieleza vizuri basi na mimi nitakubali tu..Kwani wakuu mtakuwa mmeshiriki kunifundisha historia kamili ya Tanzania.

Mnyika...Kwenye ile thread ya mashujaa wa Tanzania iliyopostiwa naMpaka Kieleweke...Alisema wazi kuwa Mangi Sina ni MSALITI kwa kumsaliti mangi MELI dhidi ya WADACHI!?

Sasa mheshimiwa...Naomba muweke rekodi straight kwasababu mwenyekiti ni mmachame na bado hamjanieleza USALITI WA SINA.

Kama ni kweli alisaliti..Niambieni..Kwasababu labda mimi kuwa mjukuu wa Sina...Hakuna anayeweza kuniambia UBAYA wa BABU YANGU HUYO KUHUSIANA NA USALITI WA TAIFA LETU.

Nitashukuru sana...Kwani hata marehemu amesababisha nyie kuhusishwa na kifo chake kwa kuwa hamkujibu tuhuma za UKABILA wala kuzifanyia kazi.

Hata ile tume ya Mziray ilionekana ni USALITI!?

Na mimi na UKABILA NI MBALI MBALI...Hata ndugu zangu wamachame wanjuwa kuwa mimi huwa na reach out bila matatizo..Napenda ushirikiano...UNAFIKI SITAKI!

Kama mnataka ushirikiano wa wachagga wote wekeni wazi mambo mengine ili tusonge mble na kama mki prove kuwa SINA alikuwa MSALITI...Basi sitakuwa na kinyongo wala nini na nitasonga mbele tu.[/QUOTE]

Kwa hiyo unatamani kuwa ndani ya Chadema kwa staili ya uchaga ambao watu wana question??

Sidhani kwa adhi yako ufikie muda wa kuzungumza hayo uliyoyasema, tukianza stori za machifu wetu hamtatosha humu, yaani ni aibu hata kuwaza mambo ya ukabila nyakati hizi .Kama umenusa alama na dalili ya ukabila taasisi fulani wakwepe kama ukoma, kutaka ushirikiano ni dalili ya na WEWE NI MKABILA TU .

Waberoya
 
Hapana mie sio Rostam ila naheshimu sheria na utu wa mtu, Mnyika angekuwa mwembeyanga ningesema hiyo ni political platform, ila kwa hili hapana utanisamehe.

kiranja wa wizi serikalini ni PAC, hebu tuwaulize kabarou, cheyo..... zitto, hazina yetu ikowapi? Kumdhihaki Rostam sio suruhisho, kama wameshindwa kubweka basi PAC irudi CCM. Asingekuwa Rostam tusingejua tabia ya mtikila, sawasawa?

Mkuu watu wanawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri kama siyo kuona mambo! Hivi mpaka leo hujagundua kuwa hawa MAGABACHORI hawaitakii mema nchi hii! Nenda mbeya kuna Mtu anaitwa Nawabu na uliza vituko ambavyo huwa anvifanya jimboni Mbarali utagundua hawa watu inabidi wafukuzwe nchini! Naomba kama wewe si RA fanya uchunguzi halafu njoo uchangie humu!
Jambo jingine ni kuwa CCM ilipoteza mwelekeo pale ilipoanza kujihusisha na hawa MAGABACHORI! Ndo maana unona inavyoumba! Wao kwao kuuwana ni jambo la kawaida! Mkuu unapozungumza CCM unazungumza matatizo yote aliyopo ni kwa sababu imeshindwa kutatua. sasa inapoona kunawatu wanataka kuleta mabadiliko ndo hayo wanayoyafanya.
Wasiwasi wangu ni kuwa wewe kama siyo RA basi ni mwana wa mwanaCCM

THINK BIG
 
Rostam ni Mbunge na anakiapo cha jamhuri hana sababu ya kwenda mahakamani.

Mnyika atashitakiwa na jamhuri sawa na mtu aliyemzaba kibao DC au RC. Nikweli viongozi wetu wamekuwa assulted kwa sms mno, tumeshampata Mnyika na ameshakiri kuwa alimtusi! tunaanza nae, sawa jamani?

BAKITA ndio offical body ya kutafsiri kiswahili, kamusi ya kiswahili inasema fisadi ni mtu mzinifu, Rostam hawezi kuwa basha waMnyika kamwe, ila sina uhakika kama Mnyika sio shoga! sheria ichukue mkondo wake tu.

mwikimbi! Habari kuwa wangwe kapigwa risasi mbili kichwani zilianzia jf sio RAI, habari ya chenge kunywa sumu zilianzia jf sio Rai, kama kuna upotoshwaji basi ulianzia jf. pia Kwa nini tumsakame rostam wakati kuna mhariri mtendaji wa Rai?

Kuhusu EPA, zitto ambaye ni bosi wa Mnyika ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali hivyo anajua zaidi nani mhusika. Kwa mfumo wa Bunge M'kiti wa PAC anatoka upinzani. Wakati Uhuru Kenyatta akiwa M'kiti wa PAC ali-account kila single senti ya serikali ya kenya, Ng'ombe atatokaje bandani wakati funguo tunazo mfukoni? tujiulize.

Ati Rwanda! radio muhabura ilikuwa sawa na jf haikujulikana inatangazia kuanzia wapi na mpaka leo mitambo yake haijulikani iliko.
Sina nia ya kuzima mjadala. Lakini pale ambapo kuna upotoshwaji wa wazi ni vema jibu likatolewa hapo hapo.
i) Zitto siyo mwenyekiti wa PAC kama Eddy anavyotaka kuonyesha kwa wasomaji. Zitto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (Kanuni Toleo la 2007) Kif.10(1)(c) ya Nyongeza ya Nane.
ii) Mjadala wa EPA ulianza mapema na Kampuni ya Lazard na baadaye kuibuliwa katika Ukaguzi wa Mahesabu ya BOT September, 2006 . Zitto amekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) Ni upotoshaji wa aina yake kumhusisha Zitto kama Eddy anavyotaka kuonyesha, na wala hakuna uhusiano katika mambo haya mawili.
 
Tatizo kama ulishazoea kupenda kusifiwa ndiyo matatizo yanapoanzia.Huyu dogo amelewa Sifa na anaona yuko Juu ya Sheria na tatizo nilishawahi kulisema toka huko Nyumma Kwamba inabidi arudshi shule Kwanza ili apate Elimu kidgo na aondoe Utoto..kama Mtu ni FISADI kwanini asimpeleke Mahakamani na Ushahidi kuliko kutumia njia ya kitoto ya SMS kama RA ni kimada wake.
Sijaona Mantiki ya Ndugu yangu Zitto kwenda kumtete Bwana Mbowe katika jukwaa la wahariri.Kama anaona Mbowe anapendwa kule Tarime basi angebaki ahudhulie Mazishi kama alivyobaki yeye Zitto.There is something wrong which this guys wanna hide to us.Siyo kwamba Chuki ilipandikizwa na CCM ila baada ya Wangwe kusimamishwa CHADEMa kuna watu walichukizwa hasa wale watu wa kemakorere na ndiyo walikuwa na sumu waliyonyeshwa toka zamani ya Ukabila.

Maneno ya fasidi jingine la JF hayo!!
 
Naomba Mkandara na mwenzako hapo juu msijaribu ku twist kwasababu hapa hamtaweza...Ni jmushi hapa nakwambia ni hoja kwa hoja.

Kama mimi niliwapa ushauri chadema toka mwanzo kabla hata Marehemu hajawa makamu mwenekiti wa chama...Chuki zao na mwenyekiti zilikuwa za hali ya juu mno!

Mwenyekiti ni mmachame...Anayesadikiwa kumuuwa ama kuwepo kwenye utata wa ajali ya marehemu ni MKIBOSHO!

CHADEMA wanaamini mangi wa wakibosho ni MSALITI...Mangi huyo ni BABU YANGU...At the same time...Kauli hio nimeipa UZITO kwani ilitoka kwa Mnyika.

Na mimi nasema sitaki muendeleze mjadala huu kwa chuki...Kama nilivyosema namsubiria Mh Slaa.

Kama haoni umuhimu wa kunijibu basi siulizi tena swali hilo na pia naomba msiligusie tena.

Matatizo kati ya wakibosho na wamachame nilidhani ni ya kihistoria..Lakini kutowa kauli ya SINA KUWA MSALITI SIKU YA MASHUJAA DUNIANI NA KUPAMBA KIVINGINE NI DALILI TOSHA ZA HARUFU CHAFU YA UBAGUZI!

Mrema alisema haya mara baada ya kifo cha Wangwe.....AMA KWELI NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI!

Sasa masikini ni chadema waliomkosa Marehemu ama ni familia yake ya umasikini ambayo ilikuwa karibia ipata Uenekiti wa Taifa na labda hata URAIS?

NANI ASIYEJUWA MAREHEMU ALIKUWA NA UWEZEKANO MKUBWA WA KUWA RAIS?

Na kama mnataka ushirikiano wa wachagga wengine kama kina MREMA...Basi mfuate UZALENDO WA MREMA...Kwani hata nyie kina SLAA kwa MREMA NI WATOTO TU!

HONESTLY...Taliking about endangering LIFE?
Mrema jamani ni SHUJAA!

Huyu mtu anayejiita Kuhani naye ambaye alikuwa akitaka kujuwa sana kama ninaenda Columbus....Huyu mtu naye kimaandishi alitaka hata kuanza kui husisha TLP na kifo cha Wangwe kwa ku imply kuwa hata wao watanufaika na kifo hicho!

Siyo wote ni wajinga kabisa...Mh D.W Slaa nashangaa sana pale mnapochaguwa mswali falni flani na kuacha mengine bila sababu za msingi.

Kwa mfano mpaka sasa hamjajibu kama ni kweli ama la cham chenu kimeguswa na EPA KWA NMANA MOJA AMA NYINGINE.
Ukimya wenu si mzuri...Haukuwa mzuri....Na baada ya kifo...Umegunduwa kuwa UKIMYA WENU HAUKUWA MZURI NA NDIO MAANA UNASEMA UMWESHINDWA KUVUMILIA KABLA MSIBA HAUJAISHA!

Kudharau watu wengine na maoni yake kunapelekea tukishuudia kuyumba kwa kisiasa kwa siasa zetu hapo Bongo.

Kimya kikuu kina mshind mkuu!
 
Mh D.W Slaa..
Napenda kuchukuwa fursa hii kuuliza kile ambacho bado hamjataka kunijibu either kwa kupuuzia ama labda kwa kuona hakuna umuhimu huo.

Kama kweli mnapinga ukabila...Then naomba muwe HONEST na ili kweli tuweze kuja pamoja bila chuki.

Na kwenye posting yako uliyomjibu Isaya Mwita..Ni jibu ambalo liko deircted kwangu kwani mimi ndio nilikosea na kusema ni makamu Mwenyekiti badala ya kaimu makamu.

Sasa kwasababu umeshaweka wazi kuwa yeye ni kaimu katibu mkuu...Napenda maelezo HONEST kutoka kwenu...Na mkiweza kunieleza vizuri basi na mimi nitakubali tu..Kwani wakuu mtakuwa mmeshiriki kunifundisha historia kamili ya Tanzania.

Mnyika...Kwenye ile thread ya mashujaa wa Tanzania iliyopostiwa naMpaka Kieleweke...Alisema wazi kuwa Mangi Sina ni MSALITI kwa kumsaliti mangi MELI dhidi ya WADACHI!?

Sasa mheshimiwa...Naomba muweke rekodi straight kwasababu mwenyekiti ni mmachame na bado hamjanieleza USALITI WA SINA.

Kama ni kweli alisaliti..Niambieni..Kwasababu labda mimi kuwa mjukuu wa Sina...Hakuna anayeweza kuniambia UBAYA wa BABU YANGU HUYO KUHUSIANA NA USALITI WA TAIFA LETU.

Nitashukuru sana...Kwani hata marehemu amesababisha nyie kuhusishwa na kifo chake kwa kuwa hamkujibu tuhuma za UKABILA wala kuzifanyia kazi.

Hata ile tume ya Mziray ilionekana ni USALITI!?

Na mimi na UKABILA NI MBALI MBALI...Hata ndugu zangu wamachame wanjuwa kuwa mimi huwa na reach out bila matatizo..Napenda ushirikiano...UNAFIKI SITAKI!

Kama mnataka ushirikiano wa wachagga wote wekeni wazi mambo mengine ili tusonge mble na kama mki prove kuwa SINA alikuwa MSALITI...Basi sitakuwa na kinyongo wala nini na nitasonga mbele tu.[/QUOTE]

Kwa hiyo unatamani kuwa ndani ya Chadema kwa staili ya uchaga ambao watu wana question??

Sidhani kwa adhi yako ufikie muda wa kuzungumza hayo uliyoyasema, tukianza stori za machifu wetu hamtatosha humu, yaani ni aibu hata kuwaza mambo ya ukabila nyakati hizi .Kama umenusa alama na dalili ya ukabila taasisi fulani wakwepe kama ukoma, kutaka ushirikiano ni dalili ya na WEWE NI MKABILA TU .

Waberoya

Pale ambapo chama hicho kilikuwa kikipigiwa kelele za kikabila nilipingana na kelele hizo na kujiunga na kina Slaa na wengine hata MKJJ kuupinga UKABILA huo hadi kupelekea sura ya jina langu kuonekana kuwa ninapendelea ukabila wa mwenyekiti wa chadema...Sasa myie watu msiojuwa historia ya Tanzania...Ndio haswa mnataka kuleta maafa kwenye Taifa letu...Kwani hamwezi kufananisha ugomvi wa chadema na marehemu na kusema eti ni wa wachagga na wakurya!
Hilo SITOKUBALI KAMWE...Na ndio maana nahoji kauli ya Mnyika kuwa Wakiobosho kwa kupitia SINA ni WASALITI.
 
Tatizo kama ulishazoea kupenda kusifiwa ndiyo matatizo yanapoanzia.Huyu dogo amelewa Sifa na anaona yuko Juu ya Sheria na tatizo nilishawahi kulisema toka huko Nyumma Kwamba inabidi arudshi shule Kwanza ili apate Elimu kidgo na aondoe Utoto..kama Mtu ni FISADI kwanini asimpeleke Mahakamani na Ushahidi kuliko kutumia njia ya kitoto ya SMS kama RA ni kimada wake.
Sijaona Mantiki ya Ndugu yangu Zitto kwenda kumtete Bwana Mbowe katika jukwaa la wahariri.Kama anaona Mbowe anapendwa kule Tarime basi angebaki ahudhulie Mazishi kama alivyobaki yeye Zitto.There is something wrong which this guys wanna hide to us.Siyo kwamba Chuki ilipandikizwa na CCM ila baada ya Wangwe kusimamishwa CHADEMa kuna watu walichukizwa hasa wale watu wa kemakorere na ndiyo walikuwa na sumu waliyonyeshwa toka zamani ya Ukabila.

Kwa hiyo kuanzia leo mtanzania yeyote asimtaje mtu kuwa ni fisadi isipokuwa tuwapeleke mahakamani tu.Hata mahakamani hakimu aruhusiwi kumweleza fulani ni fisadi kwani naye atahitaji kwenda mahakamani tena.Hivi hujaenda kanisani leo? siyo njia ya kitoto kumweleza fulani ni fisadi. kwa hiyo communication zote za sms ni za kitoto,?? pia sms zote ni kwa ajili ya vimada??.If up to this day you have not realised the power of communication using means nina wasiwasi na wewe!!!!!!!!!!!!!! acheni unafiki tuseme vitu kwa rangi yake, mwizi-mwizi, fisadi-fisadi. au na mimi nimekuwa mtoto zaidi kwa kukupinga??
 
Last edited:
JMushi,

Naomba uanzishe thread kuhoji na kutathmini hisia za Watanzania ambazo Mnyika amezitoa hadharani kuwa Mangi Sina alikwa msaliti.

Tuna wana-Historia wengi na hata ndugu na jamaa ambao wanaweza kuirudia historia na kuichanga na hivyo tukapata majibu.

Kumtaka Dr. Slaa atoe tamko au kugangamaa kuwa CHADEMA kina Ukabila au Ubaguzi hata kati ya Wachaga na kuoanisha Mbowe, Mallya, Sina na Meli, ni kupotosha ukweli na mantiki ya hoja.

Fungua thread ya kuchangua tofauti za asili kati ya Mangi Sina na Mangi Meli, ugomvi kati ya Wamachame na Wakibosho au WaUru na tuliangalie jambo hilo kihistoria kwanza na si kutumia mgongo wa Siasa na hasa kutuhumu Chadema ina vita vya kichinichini dhidi ya Wakibosho.
 
Mnyika

BRAVO mkuu kwa kumkoma nyani Giladi tena hapo hapo kwa sms ni lazima tu aelewe hatujifichi kumwita FISADI, kama amekwaza anafahamu sheria aende kushitaki - Period!

Hatuwezi kuendelea kubezwa na kajikundi ka walafi wachache ambao wanafikiri pesa ya walalahoi ni ya kuchezea. Aende akamsimulie rafiki yake anayeuza siri za nchi kwa Sinclair bin Mwizi.

BRAVO Mnyika wakati wa kuhesabiwa ndio huu na tunawaona vibaka na waleta vioja ambao wanasema hili sio jambo la kitaifa.
 
Naomba Mkandara na mwenzako hapo juu msijaribu ku twist kwasababu hapa hamtaweza...Ni jmushi hapa nakwambia ni hoja kwa hoja.

Kama mimi niliwapa ushauri chadema toka mwanzo kabla hata Marehemu hajawa makamu mwenekiti wa chama...Chuki zao na mwenyekiti zilikuwa za hali ya juu mno!

Mwenyekiti ni mmachame...Anayesadikiwa kumuuwa ama kuwepo kwenye utata wa ajali ya marehemu ni MKIBOSHO!

CHADEMA wanaamini mangi wa wakibosho ni MSALITI...Mangi huyo ni BABU YANGU...At the same time...Kauli hio nimeipa UZITO kwani ilitoka kwa Mnyika.

Na mimi nasema sitaki muendeleze mjadala huu kwa chuki...Kama nilivyosema namsubiria Mh Slaa.

Kama haoni umuhimu wa kunijibu basi siulizi tena swali hilo na pia naomba msiligusie tena.

Matatizo kati ya wakibosho na wamachame nilidhani ni ya kihistoria..Lakini kutowa kauli ya SINA KUWA MSALITI SIKU YA MASHUJAA DUNIANI NA KUPAMBA KIVINGINE NI DALILI TOSHA ZA HARUFU CHAFU YA UBAGUZI!

Mrema alisema haya mara baada ya kifo cha Wangwe.....AMA KWELI NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI!

Sasa masikini ni chadema waliomkosa Marehemu ama ni familia yake ya umasikini ambayo ilikuwa karibia ipata Uenekiti wa Taifa na labda hata URAIS?

NANI ASIYEJUWA MAREHEMU ALIKUWA NA UWEZEKANO MKUBWA WA KUWA RAIS?

Na kama mnataka ushirikiano wa wachagga wengine kama kina MREMA...Basi mfuate UZALENDO WA MREMA...Kwani hata nyie kina SLAA kwa MREMA NI WATOTO TU!

HONESTLY...Taliking about endangering LIFE?
Mrema jamani ni SHUJAA!

Huyu mtu anayejiita Kuhani naye ambaye alikuwa akitaka kujuwa sana kama ninaenda Columbus....Huyu mtu naye kimaandishi alitaka hata kuanza kui husisha TLP na kifo cha Wangwe kwa ku imply kuwa hata wao watanufaika na kifo hicho!

Siyo wote ni wajinga kabisa...Mh D.W Slaa nashangaa sana pale mnapochaguwa mswali falni flani na kuacha mengine bila sababu za msingi.

Kwa mfano mpaka sasa hamjajibu kama ni kweli ama la cham chenu kimeguswa na EPA KWA NMANA MOJA AMA NYINGINE.
Ukimya wenu si mzuri...Haukuwa mzuri....Na baada ya kifo...Umegunduwa kuwa UKIMYA WENU HAUKUWA MZURI NA NDIO MAANA UNASEMA UMWESHINDWA KUVUMILIA KABLA MSIBA HAUJAISHA!

Kudharau watu wengine na maoni yake kunapelekea tukishuudia kuyumba kwa kisiasa kwa siasa zetu hapo Bongo.

Kimya kikuu kina mshind mkuu!

wengi wa ma babu watemi sijui mangi walikuwa wote wasiliti kuanzia magungo hadi sijui Sina isipokua Mkwawa tu. Jmushi huyo babu yako ni kweli alikua msaliti.
Huo uasliti haujakoma kwa babu yako tu hadi leo unaendelea watu wanauza nchi .
Nchi yetu isingekua na wasaliti tusingekua hapo tulipo.
 
Mbatia au Mrema na watamshambulia Zitto.... This is Tanzania bwana... siasa za call box, just talk mradi uweke rupia, au "airtime ya kutosha!!!!" tusubiri tutasikia mengi. Na Mnyika ajiandae na RA maana si unaona Mtikila kanyamaza!!!

Maoni yangu kwa wote, UKWELI, HAKI, NA UVUMILIVU vitasaidia kuimarisha mapambano ya kweli ya KUIKOMBOA TANZANIA... TUNATAKA UHURU MPYA

Hanyamazi mtu ila FISADIZ. Huyo Mtikila naye si ni fisadi tu kupitia mlango wa nyuma. Mwisho wa Mnyika kisiasa ni kifo na si ku-deal na Fisadi Rostam na bwege wake Balile.
 
Sikuwahi kujua kuwa hapa jf tumejaza watu waoga kiasi hiki. Maana hawa wanaomuogopa RA kuambiwa fisadi hata nimeshindwa kubaini uoga wao umeanzia wapi. Jamani mwizi si mwizi?
Mbona hata BWM hakuwahi kuwashitaki wale vijana wa mtaani pale Mwenge waliothubutu kumuita raisi mstaafu fisadi, pamoja na kwamba walikamatwa?
Hivi kweli tunaweza kupoteza muda wetu hapa jukwaani tukimuita RA fisadi na akitokea na tukapata fursa tusimuite kwa kuogopa mahakama wakati tuna ushahidi kuwa ni fisadi kweli? Kama ni vifungo kwa wapigania haki si ni kitu cha kawaida? Maana najua hili pia lawezekana kwa mafisadi kutumia pesa za wizi kukandamiza wapiganaji. Lakini hili laweza kutufikisha mahali pa kuogopa kiasi hiki jamani?
Mnyika anastahili pongezi nyiingi sana. Ni mmoja wa watu wachache katika nchi hii wanaoweza si kuandika hapa jf tu kwa jina lake kamili lakini hata kumwambia mfalme kwamba yuko uchi.
Ninaamini huyu aweza hata kumwambia raisi wetu ukweli katika mambo yasiyo sawa. Ni tofauti na hawa vijana wa ccm ambao kila siku utasikia wanasifu tuuuuuuuuuuuuu na nadhani hiyo ndiyo sifa ambayo PM aliyeanzisha thread hii anavyotaka iwe maana anadhani usipofanya hivyo basi unakufa kisiasa. Na hapa ndipo uoga woooote wa vijana wa kitanzania unapoanzia kunishangaza.
Tupo katika nyakati ambazo tunatakiwa kuwa wakweli na kutetea utanzania wetu bila kujali nani ni nani. Hapa wala RA asiwe ni mtu wa kutisha kila Mtanzania ili tu apate namna ya kutuibia zaidi. Ikiwezekana kila Mtanzania akiweza amwambie yeye ni fisadi.
Kama tulivyofanya kwa Siclair tunaweza kufanya na kwa RA. Tupewe namba zake za simu au email yake tui flood kwa mails na SMS kwamba yeye ni fisadi, na ajue kwamba wa Tz tumeshamchoka kwa kuliibia taifa letu. Hapa bado nampongeza Mnyika kwa kuwa mkweli kwa fisadi. Tena kwa kuwa muwazi kwake kwamba si kwamba hakusema bali ni kweli alimuandikia smna kuwambia RA ni fisadi.
Lakini kwa upande wa pili namshangaa sana huyu Balile.
Yeye alikuwa mwana Chadema na tena mkeleketwa wakati yuko na gazeti la mwananchi, na hata alipotoka kwenda kuanzisha gazeti la Tanzania Daima kule Free Media. Huko alikuwa kitumika sana kupinga ukandamizaji na ufisadi sana. Wakati huo alikuwa ni Mhariri mtendaji mwanzilishi wa Free media. Beef yake na Chadema ilianza pale alipopata nafasi ya kwenda kusoma Uingereza na aliporudi alikuta nafasi yake ikiwa imechukuliwa na mtu mwingine. Nakumbuka hata makala aliyoandika mara ya mwisho katika gazeti la TD kwamba amekubaliana na Mbowe hataandikia gazeti la TD na ameamua kuondoka kwa maelewano mazuri.
Kumbe yeye naye ni mtu wa njaa tu. Akikutana na wezi yuko tayari ku side nao ili mradi anapata kitu kidogo siyo. Nilikuwa mpenzi wa makala zake at that time, na shame upon him kwa side na mafisadi hata kama anapata milioni kwa mwezi. Naye ni wa kulaaniwa kama RA. Na kwa kuanzia yale magazeti ya Rai yalishapoteza mvuto na hayana kitu tena. to hell with them.
Eddy, Masatu na wengine mliojaa uoga wa kwenda mahakamani, kaeni pembeni wengine wasonga mbele. Kama mnadhani ujumbe kwa mtu haumfikii kwa SMS nyie wote ni wa kushangaza tu maana hata hapa jf sijui mnatafuta nini maana hapa hatupo kupiga porojo kama ujumbe huu haufiki kwa walengwa. Nyie ni mashahidi kwamba tunawaandika sana humu hao mafisadi tukiamini kwa jinsi yoyote ujumbe utakwenda, iweje tusiwaandikie SMS pia? au hata kuwaambia phyisically? Waoga hapa hawatakiwi. Jiondokeeni hata hapa maana hamna maana.
Tunao tayari ushahidi wa wasio waoga kusema ukweli akina Dr Slaa mbona leo ndio wanaoonekana kama wabunge pekee bungeni? yaani bunge limekuwa kama la watu wiwili watatu tu hivi. Kwa nini? kwa sababu wanasema iliyo kweli. Tukiendelea kubaki kimya tukiwaogopa wezi hawa nakwambia watavunja nyumba zetu na mwisho watateka hata wake zetu.
 
Back
Top Bottom