Wahuni tena? Si mlisema magaidi?Safari ya kukifuta chama cha wahuni na ianze.
Msajili anapaswa kumuhoji Samia kwa nini anavunja katiba kuzuia mikutano ya kisiasa na kuita ni fujo za kisiasa?Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Wewe Kama nani?.!!You are concentrating your mind in a limited areaBinafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Msajili atajifanya hakusikia Mtungi mshenzi sana inawezekana katia tungi ndiyo anaandika barua!Wananchi lini tulikubaliana na Tozo?
Huyu mvuta bangi wa kihaya anajidhalilisha sanaMsajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Staha ni pamoja na kumkaripia Mtungi anayeatamia uvunjifu wa Katiba!Jifunzeni kuwa na staha!
Tunaendelea kupaaza sauti, Mama Samia ni muongo na haijui Tanganyika ndo maana anaishia kusema NADHANI, hana anachokijuaMsajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Wewe umeshiba katiba iliyopo na kwa kuwa..umeshiba huoni wenye njaa. Katiba mpya ni mstakabali wa nchi si kikundi cha watu. Ninyi msiotaka ainisheni ubaya w katiba mpya nini ili mueleweke!!Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Mnyika mpelekee flash inayoonyesha majibu yake yote kuhusu tozo,demokrasia,vipengele vya Katiba kuhusu vyama.Msajili atajifanya hakusikia Mtungi mshenzi sana inawezekana katia tungi ndiyo anaandika barua!
Staha inatakiwa kuanzia wapi na kuishia wapi?Jifunzeni kuwa na staha!
Yule mzeee atakufa kumfuata nyang'ao... kwa Msajili kinyume cha maadili (although unjustifiable kwa suala la Mnyika) ina uzito vibaya sana kuliko kinyume cha Katiba! Watu wanavunja Katiba wazi wazi hilo halimhusu Msajili! Ajabu sana.
Nimeipenda hii.Msajili anapaswa kumuhoji Samia kwa nini anavunja katiba kuzuia mikutano ya kisiasa na kuita ni fujo za kisiasa?
Acheni uonevu ninyi wanaCcm.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.