Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.

Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.

Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.

Mungu ni mwema wakati wote!

Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Msajili anapaswa kumuhoji Samia kwa nini anavunja katiba kuzuia mikutano ya kisiasa na kuita ni fujo za kisiasa?
 
Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Wewe Kama nani?.!!You are concentrating your mind in a limited area
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.

Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.

Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.

Mungu ni mwema wakati wote!

Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Huyu mvuta bangi wa kihaya anajidhalilisha sana
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.

Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.

Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.

Mungu ni mwema wakati wote!

Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Tunaendelea kupaaza sauti, Mama Samia ni muongo na haijui Tanganyika ndo maana anaishia kusema NADHANI, hana anachokijua
 
Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Wewe umeshiba katiba iliyopo na kwa kuwa..umeshiba huoni wenye njaa. Katiba mpya ni mstakabali wa nchi si kikundi cha watu. Ninyi msiotaka ainisheni ubaya w katiba mpya nini ili mueleweke!!
 
Msajili atajifanya hakusikia Mtungi mshenzi sana inawezekana katia tungi ndiyo anaandika barua!
Mnyika mpelekee flash inayoonyesha majibu yake yote kuhusu tozo,demokrasia,vipengele vya Katiba kuhusu vyama.
 
Namwelewa sana Prof. Assad, asilimia zaidi ya 70 ya viongozi wetu hawana uwezo wako chiiini ya kiwango...msajili nimmojawapo!!
 
... kwa Msajili kinyume cha maadili (although unjustifiable kwa suala la Mnyika) ina uzito vibaya sana kuliko kinyume cha Katiba! Watu wanavunja Katiba wazi wazi hilo halimhusu Msajili! Ajabu sana.
Yule mzeee atakufa kumfuata nyang'ao
 
Back
Top Bottom