Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

Hongera ila msiwe mnawatukana majaji wanafuata sheria siku zote isonekane mnaposhinda ndo jaji katenda haki
 
Pipoooz pawa naikubali.Sasa bas wapi rejao,wapi ritz,wap ribosome,wapi nnauye,wapi dr.Kuneng'e?.Magamba mtajibebaje na 2015 hamshindi popote pale.NGOJA NIKALE BATA HADI KUKU WAONE WIVU.Pipoooz!
 
Nimefurahi sana kuona HAKI INANATENDEKA...kuheshimu maamuzi ya wananchi...pipoooooz pawaaaaaaa!
Vox popoli,Vox Dei......!
 
God will always be on our side till the end of the times.......PEOPLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLEEEEEEEEEEEEEEEEEE'SSSSSS......!!!!
POWEEEEEEEEEEEEEEERRRRRRRRRRRRRRRRRR! KUDADADEKI..................NI FURAHA TU JAMANI, KAMA LUSINDE VILE.....!!!!!
 
sasa sijui tukafungue kesi nyingine wapi? Sasa hivi tunaenda fungua Mwanza.
 
Asante Yericko Nyerere..........umeripoti vizuri bila papara, nafurahi haki imetendeka, Hawa Ng'umbi kimekutokea puani......gharama ulipe
 
Hongera sana mnyika, sasa rudi Jimboni tuna matatizo makuu mawili ambayo ni maji na barabara.
 
kinachofata ni maandalizi ya mkutani j mosi pale jangwani!!!!!!!watu makini,viongozi shupavu watatuambia maneno mazuri yanayotekelezeka!!!!!ndo safari ya ukombozi inaendelea.
 
Back
Top Bottom