Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

Nimekuwa nikifatilia sehemu nyingi za ushindani,kila anayeshinda anasema haki imetendeka iwe kwenye Siasa au mpira.mkifungwa au kushindwa haki haijatendeka.Chadema walipoteza arusha haki haikutendeka,sumbawanga haki imetendeka,segerea haki haikutendeka,ubungo haki imetendeka.
 
Safi sana Yeriko Nyerere! Japo ndio nimeisoma muda huu lakini nakupongeza. Pipoooooooooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Karibu mkuu, habarika zaidi kwa kila hatua hata kama umechelewa kujiunga nasi
 
Back
Top Bottom