Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,326
- 5,501
Wa jadi fundi wa jadi......
Enzi za RTD bila shaka
Wa jadi fundi wa jadi......
Hivi huyu jamaa bado yupo kweli!!! Mara ya mwisho kusikiliza RFA ilikuwa 2012 kwa mnaoisikiliza bado huyo top manyota yupo!!top manyota............
. Kweli kila zama na kitabu chake, umenikumbusha mbaliyuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"
Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-
1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?
2. MWILI OBARE: Unaongea na Mwili Obare
3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare
4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!
Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio ndio.
huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.
.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
hata mimi cjui kama bado yupo huyo jamaaHivi huyu jamaa bado yupo kweli!!! Mara ya mwisho kusikiliza RFA ilikuwa 2012 kwa mnaoisikiliza bado huyo top manyota yupo!!
Anaitwa Kung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obareyuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"
Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-
1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?
2. MWILI OBARE: Unaongea na Mwili Obare
3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare
4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!
Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio ndio.
huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.
.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
kipindi kilikuwa hakinogi kwangu bila ya kumsikiliza huyu jamaaAlikua nooma saana,hapo ukute Fredwa kwenye Sindano 5 za moto au Wikend Friva ndo kapokea simu yake ni lazima ucheke. .