Nyama ya Zamba
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 113
- 100
Rambo segeja mwanasusana
Kuna mwingine alikuwa anaitwa mtaalamu wa kujaza vocha bila kukwangua!!Wapo wengi **** yile chesco mwana wa mwaalim litumbi kuna wale walokuwa wanajiita wataalam fulani kama mtaalam wa kurwkebisha miguu ya mtu
Mtaalaam wa kupiga penat huku amefumba macho na yule mtaalam wa kunyoa upara
Umenikumbusha mbali sana!! Mkuu kuna mwingine alikuwa anaitwa SUZY NGODOKI.yuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"
Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-
1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?
2. MWILI OBARE: Unaongea na kung'ombe Chacha Mrema Muhiri Obare
3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare
4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!
Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio.
huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.
.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
aiseh kumbe wapo wengi hivi...ila tatizo utakuta walikuwa maarufu sana lakini hali zao za kiuchumi zilikuwa haziendani na umaarufu wao.Umenikumbusha mbali sana!! Mkuu kuna mwingine alikuwa anaitwa SUZY NGODOKI.
Nilikuw napenda kumsikia huyu mtu
Mnamkumbuka Basu Basanga Basu . Hawa jamaa ndio walikuwa celebrit wa kipind kile. Baada ya kusikiliza tano za moto na fred waryuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"
Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-
1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?
2. MWILI OBARE: Unaongea na kung'ombe Chacha Mrema Muhiri Obare
3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare
4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!
Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio.
huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.
.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
tena alikuwa ameandika hilo jina kwenye duka lake hilo mkuu,ukiwa unaenda town lhsKungombe .... chacha.....mrema..........sukari ..... muriri ......obare;;;;;;;;; muriri onare''''''' Naaaaam.
Jamaa alikuwa na kaduka hapo stendi ya Igoma Mwanza sijui kama bado yupo
Sory mkuu una undugu na kashinde au ni wewe umebadili jinaSijambo, niko poa tuu.
Hahaaaaa Fred naona kama amepunguza vituko kila obareeeeeee bwana alikuwa na kihiace route ta town mwanza to sehemu moja kilishika moto Jirani na shule ya msingi GedeliAlikua nooma saana,hapo ukute Fredwa kwenye Sindano 5 za moto au Wikend Friva ndo kapokea simu yake ni lazima ucheke. .
Kosa sio lao. Kosa ni letu kudhani ukiwa maarufu lazima uwe tajiri. Unamkumbuka matonya omba omba?aiseh kumbe wapo wengi hivi...ila tatizo utakuta walikuwa maarufu sana lakini hali zao za kiuchumi zilikuwa haziendani na umaarufu wao.
Pale Babati alipakimbia akahamia kwao huko machame.. Huyu jamaa stand enzi hizo ipo pale karibu na Motel paa paa alikuwa noma..Zakaria Ndemfoo Babati Arusha heeee heee wote humu hamumjui ni wa nineteen kweusi!!!
naye huyo yupo vizuri sana...nampendaga anapomalizia mwishoni hapo ingawa yeye ni reporter wa itvMimi ni Gerge maratuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wa itviiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,musomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!