Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

yuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"

Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-

1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?

2. MWILI OBARE: Unaongea na kung'ombe Chacha Mrema Muhiri Obare

3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare

4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!

Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio.

huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.

.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
 
Alikua nooma saana,hapo ukute Fredwa kwenye Sindano 5 za moto au Wikend Friva ndo kapokea simu yake ni lazima ucheke. .
 
yuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"

Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-

1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?

2. MWILI OBARE: Unaongea na Mwili Obare

3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare

4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!

Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio ndio.

huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.

.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
. Kweli kila zama na kitabu chake, umenikumbusha mbali
 
Anaitwa Kung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obare
 
Kungombe .... chacha.....mrema..........sukari ..... muriri ......obare;;;;;;;;; muriri onare''''''' Naaaaam.
Jamaa alikuwa na kaduka hapo stendi ya Igoma Mwanza sijui kama bado yupo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom