Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 106
Mnakwama!!! Uchaguz uwe huru na haki
Hata kama leo hii CHADEMA wangeambiwa wawe tume wasimamie uchaguzi, upinzani hauwezi kumshinda Magufuli kwa kura za halali labda kwa kuiba.
Kwa nchi yetu upinzani haujawa tayari kuiondoa CCM.