Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wakuu, nimeona wanasema kuwa kesho wanapokea Mabilioni Ya fedha toka barrick Kama gawio, Mimi ninachojua Nikuwa serikali hiii Ya magufuli inaweza fanya chochote kile inaweza kuigiza kuonesha watu mabilioni hewa, na inaweza Chukua hela ikaweka kwenye account Ya barrick Halafu ikawaambia tuletee mseme kuwa ni gawio tena wanaweza hata wakawapa hela Kama ya kufanya Kama nauli, Mimi siwaaamini hata chembe hiii serikali imejaa usaniii, uongo na ushamba Sana naa Kwa kuwa inajua kuwa Hakuna wa kuikagua lolote laweza fanywa na huyu mtu
Kama Leo ameshangaa Kwa kusema kuwa wanafunzi wanaomaliza vyuo vya Elimu ya Juu hawajaajiriwa wamekosa ajira, huyu utamwamini kweli? Sasa haya lisu Alikuwa anayapigia kelele na ndio sababu Ya lisu kugombea ili awaokoe wanavyuo Leo tena alioko madarakani aliefuta utaratibu wa ajira aliesimamisha ajira eti anashangaa Kuona wanafunzi wengi kukosa ajira anasema kuwa anaomba mmchague ili awatafutie ajira, daaaah huyu mtu kichwani yuko sawa?
Mimi ninahakika neno alilolisema Leo anapaswa kuchunguzwa kichwani