hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Mkuu hebu du ze nidful banaa
wish i had a life ''remote control''.....
Mkuu hebu du ze nidful banaa
Umeenda kwenye Birthday yake kule Chit ChatDah wamepotea kweli ila kama wanasikia warudi tu.......ila mi nimemiss Husninyo tu ingawa namwona kila siku....teh teh
if only life came with a ◄◄ REW ► PLAY ▌▌PAUSE █▌STOPwish i had a life ''remote control''.....
Asee....hapo umesema mkuu!!nini supu ya ngumi... kuna makange ya mkia pale kwa mbaga (mbezi/kawe) na 8 packs za fire extinguisher
BTW.... andaa caravan kuanzia dec 20 ya nothern zone adventure... kuna haja ya kuanzia tanga, na kumalizia karatu.... SERIOUSLY
Dah wamepotea kweli ila kama wanasikia warudi tu.......ila mi nimemiss Husninyo tu ingawa namwona kila siku....teh teh
Mkuu naona mwaka huu mambo kama vile yatajirudia kama December mwaka janaAsee....hapo umesema mkuu!!
Wapi tanga.......koogwe halafu haoooo!!
Blaki Wumani atakuwa amemalizia ile guest house yake pale Ngaramtoni walahi!!
Napiga pasi.....mdo naelekea hukoUmeenda kwenye Birthday yake kule Chit Chat
hehehehe usicheke basi we tabasabu tuhahahahahaha, usimchekeshe mtoto atajikojolea.
Fire extinguisher ni kwa ajili ya wazee..........yule sio mzee, ni babu.......yeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kazi
Lol!! Insurance ya KiuFire extinguisher ni kwa ajili ya wazee..........yule sio mzee, ni babu.......
mkuu, fire extinguisher zinaanza za bardiii halafu baadae unasahau kama kama ulikuwa unakunywa za baridi, unasema fungua tu!!!
Asee, GY anawaka....kiu yake inahitaji kumkatia insurance kabisa............''Thirst insurance''
Aisee mwambie Faiza aje nalo bana nataka nimvalishe mtu fastaaaaiiseee PA... Nimetafta Burqa... nimeshindwa mwenyewe.... Faiza alikuja home atakua kabeba...lol
Could be!!!Mkuu naona mwaka huu mambo kama vile yatajirudia kama December mwaka jana
Dah wamepotea kweli ila kama wanasikia warudi tu.......ila mi nimemiss Husninyo tu ingawa namwona kila siku....teh teh
Aisha Adam...........mh! nimemmiss sana.Habari wana JF...
Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)
- Michelle
- Eiyer
- Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
- Stevie Dii
- Mestod
- Bacha
- CPU
- Lizzy
- Gagurito
- Manumbu
- Pearl
- Belinda Jacob
- Magulumalu
- Mentor
- First Lady
- Zion Daghter
- Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
- Dinnah
- Kbd
- Rev Masanilo
- Cheusi Mangala (thou she is back)
- Okada
- Elia
- Sharohiphop
- Aisha Adam
- Samora10
- Vikwazo
- The Dirty Paka
- Madabwada
- KonaKali
- Mayassa
- Kaka Mpendwa
- Fixed Point (thank God tumemuona)
Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)
(This Post has been written with Lots of Love.....)
Pamoja Saana
AshaDii.
Nimeshafika huko ingawa mtoto mchanga nasikia mkorofiExcellent taratibu mlezi wake nipo hapa... Kwanza leo siku yake ya kuzaliwa... Mimi na Sweetie Kaizer tumemuandalia sherehe pale Ukumbi maarufu wa Chit Chat... karibu saana...