"MMU Misses you Sooo Much"

Hawa wakuu sijawasikia kitambo na namiss sana michango yao, HashyCool, Kaka Mohamed Shossi, Yeshua Haarmalech, Mkwaruzo, Prodigy Son, Young Corporate na wengineo. Najua maisha yana purukushani zake na challenges zake za kila siku, lakini kama alivyosema AshaDii tunawamiss sana.
May God bless you all
 
pamoja sana kaka....
 
Magulumangu mzee wa mashairi sijui amepotelea wapi
Aisee huyu mtu hata mimi nimemmiss sana...hatupati mashairi tena...klorokwini sijui tumwingize upande gani, anakuja na kupotea kama mvua...Dena Amsi nae pia siku hizi anachungulia tu kwa mbali...
 
mayasa...dah!...nalimiss hili jembe.
huyu kiumbe mayasa sijui yupo wapi!.popote alipo Mungu amtangulie kwa kila alifanyalo afanikiwe.amen.
HUSNINYO alaaniwe milele na siku ya mwisho aingie moto wa jehanam.
NAKUPENDA SANA ASHADII...
roger
 
Hawa wakuu sijawasikia kitambo na namiss sana michango yao, HashyCool, Kaka Mohamed Shossi, Yeshua Haarmalech, Mkwaruzo, Prodigy Son, Young Corporate na wengineo. Najua maisha yana purukushani zake na challenges zake za kila siku, lakini kama alivyosema AshaDii tunawamiss sana.
May God bless you all

nammiss sana Yeshua hamalech,Pearl,beauty,smiles,ZD,carmel,zakumi, na wengine wengi
 
....haswa Lizzy, Gaga, Michelle, Belinda Jacob, Carmel,....nyamayao....dahhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom