"MMU Misses you Sooo Much"

Mtu wa ku qualify kiti cha Biggie... awe walau na vigezo vifuatavo...
  1. BAN sio chini ya 3..
  2. ID sio chini ya 3..
  3. Uwezo wa kumtia tumbo joto PAW..
  4. Special scent.. ukipita mahala... Members wanajua eeh kweli mrithi wa Biggie kapita
  5. Anapita kila Jukwaa...
Mie niki observe hapo waingia # 5 na atleast # 4 BUT the above 3....mmmmh!
Wiki ijayo natafuta BAN
 
we gave Manure too much respect... it was all for the taking

Nammiss kweli Michelle aisee:A S embarassed:
ongea vizuri........supu ya ngumi ipo??
Kama unasafiri hivi karibuni unambie aseee!!
Unaweza kubahatika!! hahahahaa!!
 
ongea vizuri........supu ya ngumi ipo??
Kama unasafiri hivi karibuni unambie aseee!!
Unaweza kubahatika!! hahahahaa!!
nini supu ya ngumi... kuna makange ya mkia pale kwa mbaga (mbezi/kawe) na 8 packs za fire extinguisher

BTW.... andaa caravan kuanzia dec 20 ya nothern zone adventure... kuna haja ya kuanzia tanga, na kumalizia karatu.... SERIOUSLY
 
Dah!! 8 Packs of fire extinguisher
 
Dah!! 8 Packs of fire extinguisher
yeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kazi
 
Dah wamepotea kweli ila kama wanasikia warudi tu.......ila mi nimemiss Husninyo tu ingawa namwona kila siku....teh teh
 
yeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kazi
Dah!!! You are killin me na vicheko lol, babu uwezo wake kwa bwawa la kidatu ambalo halina maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom