"MMU Misses you Sooo Much"

Ashadii, thanks kwa kutukumbuka mamii!..You're so kind:)))

Majukumu tele ila sijambo na mzima wa afya. Hope nawewe uko salama kabisa!!


Belinda dear... genuinely ni moja wa members nili Miss zaidi, nimefurahi nimekuona hapa... kwa saana tu na pia nashukuru Umeripot bana kua you are well and good ila tu majukumu yamebana. Enways Belinda atleast once a week uwe unatupia hata post moja, ili tujue you are well and good...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom