Mkuu wa wilaya Ruvuma afumaniwa akimega

Imesemwa siku zote ndege wafananao huruka pamoja, huyu Madaso anavyomtetea huyo mkuu wa wilaya mzinzi ni wazi nae pia ni mzinzi kama Madaha ndio maana haoni ubaya wa jambo hili! Swali zuri sana First lady kauliza Madaha Hajaoa? na kama ameoa anawezaje kusimama na kupinga uzinzi? Hata ukiisugua vipi shaba haiwezi kuwa dhahabu, madaso huwezi badili ukweli madaha juma Madaha ni Mzinzi

sema wewe mkuu,
mi mara ya kwanza nilihisi inawezekana huyu ndio mheshimiwa mkuu wa wilaya mwenyewe MADAHA==MADASO
maana anamtete ka nini sijui, aaarrrrggghh.
 
Kama amebaka ndiyo habari. Kama maelewano hii siyo habari ni udaku. JF siyo sehemu ya udaku. Ni sehemu pa kudiscuss issues zenye manufaa kwa jamii nzima.
 
Imesemwa siku zote ndege wafananao huruka pamoja, huyu Madaso anavyomtetea huyo mkuu wa wilaya mzinzi ni wazi nae pia ni mzinzi kama Madaha ndio maana haoni ubaya wa jambo hili! Swali zuri sana First lady kauliza Madaha Hajaoa? na kama ameoa anawezaje kusimama na kupinga uzinzi? Hata ukiisugua vipi shaba haiwezi kuwa dhahabu, madaso huwezi badili ukweli madaha juma Madaha ni Mzinzi
Alikuwa kajipumzisha hakuwa anazini huwezi jua labda mwandishi alikwenda kuchukua habari kwake. Wanaoujua ukweli ni Madaha na Mwandishi waliokuwa chumbani.
 
Hahahahaha yeah yeah na report nimefuata kahawa mzee huku.

Mpwaa hiyo kahawa unayoifuata tunduru inalimwa sehemu gani tunduru.Halafu poti ni kahawa au kuna lingine,maana sijawahi kusikia kahawa ikilimwa tunduru.Taratibu huko kijana kuna simba watu huko ooooh,bado tunakuhitaji.Usije ukajifanya hamnazo,ukapotea.
 
sema wewe mkuu,
mi mara ya kwanza nilihisi inawezekana huyu ndio mheshimiwa mkuu wa wilaya mwenyewe MADAHA==MADASO
maana anamtete ka nini sijui, aaarrrrggghh.
Ukweli unauma, naona nimekukaba koo.Ukweli unabaki pale pale huyu jamaa ni kioo cha jamii alishakuwa mkuu wa wilaya muda mrefu amefanya mambo mengi sana waulize wanaomfahamu. Hana mchezo na kazi ni mzuri wa kuwawajibisha watendaji wabovu. Alipokuwa wilaya ya Magu aliwahi kupongezwa kwa utendaji kazi mzuri matumizi mazuri ya pesa ya Halmashauri.
 
ila katika mapambano ya UKIMWI si kioo kizuri katika jamii
 
Mpwaa hiyo kahawa unayoifuata tunduru inalimwa sehemu gani tunduru.Halafu poti ni kahawa au kuna lingine,maana sijawahi kusikia kahawa ikilimwa tunduru.Taratibu huko kijana kuna simba watu huko ooooh,bado tunakuhitaji.Usije ukajifanya hamnazo,ukapotea.

Hahahaha poti lakini nimekuja kikazi zaidi si unajua nina nyumba ndogo hapa.
 
Hahahaha poti lakini nimekuja kikazi zaidi si unajua nina nyumba ndogo hapa.

Rafiki yangu wewe ni hatari,una nyumba ndogo mpaka tunduru.Haya bwana ya kwetu majicho.Ila bado umakini unahitajika,maana wanaenda msondo hao,usije kusahau kazi ukawa kama mkuu wa wilaya.
 
ila katika mapambano ya UKIMWI si kioo kizuri katika jamii

Bora kilikuwa kiburudisho cha jamaa angu mmoja hivi dah sasa angekuwa huyu paparazi mke wa mtu mnafikiri ingekuwaje na bahati yake.
 
Ukweli unauma, naona nimekukaba koo.Ukweli unabaki pale pale huyu jamaa ni kioo cha jamii alishakuwa mkuu wa wilaya muda mrefu amefanya mambo mengi sana waulize wanaomfahamu. Hana mchezo na kazi ni mzuri wa kuwawajibisha watendaji wabovu. Alipokuwa wilaya ya Magu aliwahi kupongezwa kwa utendaji kazi mzuri matumizi mazuri ya pesa ya Halmashauri.

what goes around comes around, sasa ni zamu yake kuwajibishwa.
over
 
Huyu mbona jina lake kama ni ustaadhi,yeye hafungi kwenye mwezi huu mtukufu na anamega nje ya ndoa yake tena hata muda wa kufuturu bado?Tabia hii haimpendezi Mungu na maadili ya uongozi wa taifa pia.Viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii,sasa kama wanamegana tena mchana kweupee inakuwaje hii.JK amtupie macho.
Inawezekana hilo jina la kusomea tuu kama mh.Halima Mdee na nani vile!
 
Rafiki yangu wewe ni hatari,una nyumba ndogo mpaka tunduru.Haya bwana ya kwetu majicho..

Mkuu unajua maisha yenyewe mafupi haya kesho unaweza sikia Breaking news Fidel katutoka alafu vile vile raha jipe mwenyewe lakini jali misingi na nidhamu ya kazi sio unamega mchana muda wa kazi kama huyu DC.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea jana mchana kweupee wananchi wanao kemea tabia mbaya kama hizi. Kwa mtu anae taka more dataz piga cmu kwa viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma watakuthibitishia.

NB; Huyu mkuu wa wilaya anapingana na zoezi la mwajiri wake rais JK kwa kuto piga vita gonjwa hatari la ukimwi hili. Tunashauri rais amsimamishe kazi mara moja na hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Na mwezi mtukufu huu jamaa anatenda dhambi kweupe kaacha ofisi anaenda kumega.

Vijana wange mkandamiza kizenji pia...!! Jitu zima umalaya na heshima zake bado linaendekeza ngono..!

Kwa jinsi hii kweli ukimwi utakwisha Tanzania ? Viongozi wetu wamekuwa mfano mchafu sana katika hili.

Na pia ndio hao hao wanatumia fedha za misaada za kupambana na maambukizi ya ukimwi kufanya ufuska wao.

Sioni sababu ya Polis kufanya uchunguzi wa uporaji huo ulio tokea.

Wangemfanya tendo la zinaa ili akome kwenda gesti na waandishi wa habari..!
 
Mkuu unajua maisha yenyewe mafupi haya kesho unaweza sikia Breaking news Fidel katutoka alafu vile vile raha jipe mwenyewe lakini jali misingi na nidhamu ya kazi sio unamega mchana muda wa kazi kama huyu DC.
Mheshimiwa acha uzushi haikuwa mchana ilikuwa usiku, yaonekana una ajenda ya siri hapo kuilazimisha JF kukuamini kuwa ilikuwa usiku wewe uko Tunduma mambo yametokea kwingine huo ni uzushi KWA NIABA YA MUHESHIMIWA MADAHA napenda kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa mambo yalitokea usiku na hakukuwa na swala la uzinzi Ahsanteni. Mwenye kuamini aamini asie amini ashikilie msimamo wake. Inauma watu wazima kujadili swala hili tujadili maendeleo na mazuri aliyokwisha tenda huyu Mheshimiwa.
 
Nafikiri huu ni ukosefu wa maadili mtu kama mkuu wa wilaya ambaye ndio watu wengi tungemtegemea kwa ushauri na kama kioo cha jamii anafanya mambo kama hayo...hii ni aibu kubwa mno kwake na kwa jamii nzima ya Tunduru na pia amemuabisha aliyemteaua kwani inaonekana hakuwa makini ktk kuchagua watu wenye maadili mema

Tusimnyoshee kidole huyu mkuu wa wilaya nasi pia tujichunguze tabia zetu kama somo la Bwana Yesu kuwa usiangalie kibanzi kilichomo kwenye jicho la jirani yako wakati kwako wewe kuna boriti.
 
Back
Top Bottom