Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Fanya jambo sahihi,kwa wakati sahihi,mahali sahihi na kwa watu sahihi.Mambo mengine unaaibika kwa bahati mbaya,lakini hili ni la kujitakia.Kama ni ukweli Mungu amsamehe.
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea jana mchana kweupee wananchi wanao kemea tabia mbaya kama hizi. Kwa mtu anae taka more dataz piga cmu kwa viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma watakuthibitishia.
NB; Huyu mkuu wa wilaya anapingana na zoezi la mwajiri wake rais JK kwa kuto piga vita gonjwa hatari la ukimwi hili. Tunashauri rais amsimamishe kazi mara moja na hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Na mwezi mtukufu huu jamaa anatenda dhambi kweupe kaacha ofisi anaenda kumega.
ila hayo mambo binafsi sana na sio hata ya kukuumiza kichwa, kama kumega kila mtu anamega so sioni ajabu katika hilo
tunachomlaumu huyu mkuu ni kwamba atabanjukaje wakati wa kazi??, awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine.
...Point!!! Nadhani na mjadala ungeishia hapa!ila hayo mambo binafsi sana na sio hata ya kukuumiza kichwa, kama kumega kila mtu anamega so sioni ajabu katika hilo
Huyu mbona jina lake kama ni ustaadhi,yeye hafungi kwenye mwezi huu mtukufu na anamega nje ya ndoa yake tena hata muda wa kufuturu bado?Tabia hii haimpendezi Mungu na maadili ya uongozi wa taifa pia.Viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii,sasa kama wanamegana tena mchana kweupee inakuwaje hii.JK amtupie macho.
hahahah homeboy bana!Hahahahaha yeah yeah na report nimefuata kahawa mzee huku.
Alafu JK asipo mwajibisha kwa kumstaafisha kwa manufaa ya umma tutakuwa hatumwelewi huu utawala bora anao hubiri ana hubili kwa watumishi wake au kutufariji ss mtasikia tu kahamishwa wilaya nchii hii imeoza kweli nilisikia jamaa aliniambia JK anapochagua wakuu wa wilaya anaangalia alphabet anagonga paaaa mara mpwa unakula shavu George Porjie mkuu wa wilaya ya Tegeta hahahaha.
w eee fidel nawe acha kukuza mambo sasa hapo JK anahusika vipi? kwani unamchagua kiongozi unacmhunguza kama mzinzi au lah? tumeona nchi ngapi viongozi wanavunja maadili moja wapo Uk , sasa utamlaumu aliyemchagua au waliomhcagua au wa kulaumiwa ni yeye kiongozi mwenyewe anayevunja ethics za uongozi? everyone is responsible for his own action. tumsemeni JK panapostahili sio kila kitu hata upuuzi wa watu wengine tumlaumu yeye tu mwe!Tukihoji JK anatumia vigezo gani kuchagua wakuu wa wilaya mnasema ooh Fidel, Yo Yo, Nyani Ngabu, Masanilo wasengenyaji haya sasa huyu kafumwa mchana kweupeeeeee kaacha ofisi anaburudika na kiburudisho.
Unaonaje ukinitafutia jina la aliyemegwa,unaweza kukuta ni shemeji yenu.Yaani jamaa hata hakuogopa mwezi wa toba achilia mbali kutokufunga.Halafu kiongozi kama huyu mtegee atakuwa muadilifu.Mnaopiga vita ufisadi jueni kazi mnayo.
wajina bana!,
hatukatai kwamba ni ishu binafsi, sawa. lakini ilikua mchana tena siku na muda wa kazi.
mbaya zaidi huwezi jua huko mikoani kila kitu ndo kwa mkuu wa wilaya, je unafahamu ni watu wangapi waliokua wamepanga foleni ofisini kwake wakimsubiri awape huduma??. ni mafaili mangapi kwa muda huo aliokua anabanjuka angekua anayapitia??
je mbaya zaidi mwezi huu ndo wa toba, yeye anabanjuka tu akirudi home familia wanajua jamaa ka-'close' kumbe kobe!!,
tunachomlaumu huyu mkuu ni kwamba atabanjukaje wakati wa kazi??, awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine.
w eee fidel nawe acha kukuza mambo sasa hapo JK anahusika vipi?!
Tatizo la JK akiambiwa mbishi hachukui hatua za haraka angalia kama huyu utashangaa bado anaendelea kupeta hivi unajua alikuwa anajiexpress muda wa kazi mchana kweupee sasa kwa nn asimwajibishe bana watu tunalipa kodi kwa ajili yao alafu kazi wanafanya kwa kujivuta vuta.
Hapo nilipowekea rangi nyekundu. Nimesikia sana watu wanasema tunalipa kodi weee, wakati watu wanabeba boksi wengine wanafanya kazi na kulipa hiyo kodi ughaibuni hawajawahi kukatwa hata sh hapa nyumbani hiyo kodi anafaidi Gordon Brown na Malkia acheni unafiki.Tatizo la JK akiambiwa mbishi hachukui hatua za haraka angalia kama huyu utashangaa bado anaendelea kupeta hivi unajua alikuwa anajiexpress muda wa kazi mchana kweupee sasa kwa nn asimwajibishe bana watu tunalipa kodi kwa ajili yao alafu kazi wanafanya kwa kujivuta vuta.