RC Chalamila, nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,675
22,265
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko?

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali mliowaahidi kwa maandishi mtawarudisha kwenye soko wanakusubiri uwakabidhi soko lao.
 
Tatizo la soko la Mbagala Zakhiem linatokana na mkuu wa mkoa na wenzake kuwadharau wafanyabiashara wa awali kuwa hawezi kuganya lolote wakati mkurugenzi aliwapa namba za vizimba kwenye soko hilo.
 
Back
Top Bottom