Elections 2010 Mkutano wa Slaa Mbeya!

Asante Left wing kwa ufafanuzi. Kesho tunamwua Goliath. Ndiyo atajua maana ya nguvu ya umma.
 
Lengo lao naona ni kuwatia vilema wengine wasije piga ata kura kesho
Shime wanambea its time to do away with CCM.
 
Lengo lao naona ni kuwatia vilema wengine wasije piga ata kura kesho
Shime wanambea its time to do away with CCM.
wanachotaka kufanya ni kuonyesha kwamba Chadema wanafujo ili wananchi wasikipigie kura hapo lesho. Mimi nilishagundua janja ya CCM tangu zamani
 
Asante Left wing kwa ufafanuzi. Kesho tunamwua Goliath. Ndiyo atajua maana ya nguvu ya umma.

Naamini kuna watu wateleta Pucha hapa na ikiwezekana waweke Clip ya Maandamano baada ya Mkutano Mkuu mimi na Ktambi changu ilibidi niingie kwenye Maandamano maana nilihasmasika sana

Ila kiti nilichojifunza ni Kwamba Siku zote nitawaheshimu vijana wapiga Debe na Wamachinga, kwanza niseme tu kwamba wengi niliowahoji si tu kwamba walinihakikishia bali walinionesha kadi zao za Kupiga kura, Ni watu ambao kwao hawana cha kupoteza tofauti na sisi wafanayakazi wa Uma ambao hata kuinua Mkono wa Pipoz Power tunaogopa maana wale Nyoka wa TISS wako kila mahala

Hawa Vija ambao wengine wanawaita wahuni nawaheshimu sana na Historia daima itawakumbuka, Leo Mji Mzima wa mbeya Ulijaa Bendera za CHADEMA kwenye daladala, kwenye baiskeli na hata Pikipiki, ni vijana ambao wanaenjoy hii Game ya Siasa kuliko akina sisi Vitambi Mbele, wako huru kuonesha Hisia zao hata Mbele ya mkuu wa Mkoa

Kwa Hili nawashukuru sana CCM kwa kuwatelekeza hawa Vijana na sasa ndio watakaoikomboa hii Nchi

Dr. W Slaa ukiingia madarakani Jaribu kuwakumbuka hawa Vijana ambao CCM imekuwa ikiwarubuini miaka nenda Rudi! Uwatengenezee mfumo utakaowawezesha wale ambao wako tayari kurudi Darasani wafanye Hivyo

Nina mambo mengi sana ya Kuandika Juu ya Nilichokiona lakini muda sina

Ila kwa kifupi ni Kwamba Wana Mbeya hakika watahesabiwa katika mapambano haya
 
Kuna mdau amenihabarisha kuwa Slaa amemaliza kuhutubia na askari wa FFU wanalipua mabomu ya machozi all the way toka maeneo ya CCM kuelekea Mwanjelwa

MY TAKE
Unabii wa Slaa naona ndo unakamilika bse aliwahi sema CCM ndo wataleta fujo b'se wao ndo wenye dola na kutoa amri

walifanya hivi huko mara, mwanza, nk. Kila eneo wanapokabiliwa na ushindani wamezoea kuwatisha wananchi. Hii nchi bado inautemi watu hawajagundua tu bado.
 
Mbeya Mkwele akipita mjiandae kwa visirani unaweza kuta Songwe Airport itakabiziwa 2015
 
Mugumu asante sana kwa pic, kweli wakati wa mabadiliko umewadia, tunachotakiwa ni kumalizia kufanya kampeni kwa njia ya simu sasa.
 
Lindeni kura. Peoplesssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nawatakieni nyote heri na fanaka. Whatever the outcome...Tanzanians have spoken and crystal clearly aired their opposition to the way our country is run.

Nawashukuru wanaJF wote kwa mapambano makali ambayo ndiyo hasa chanzo cha vuguvugu la mabadiliko. Mipango na mawazo mengi, kashfa na kila aina ya siasa iliyofanyika hapa JF ilikuwa mwiba kwa mafisadi. Hawatakaa waisahau JF. Hata ikiwa majangiri yatashinda hayawezi kuendesha nchi kama zamani.

Mungu awajalie ujasiri na Inshallah, akipenda na naamini kabisa atapenda, Dr. Slaa ndani ya mjengo. Ni mashindano kati ya mwanga na giza na kati ya Mungu na shetani. Please do vote!
 
yaani hakuna nguvu ya marais wa wastaafu, matangazo ya bei mbaya, jukwaa la kisasa, nyimbo na muziki.. mmh.. nadhani kutahitajika tafsiri sahiihi ya hii mikutano maana mingine haiingii akilini.. kweli ni wakati wa mabadiliko..

And yet kuna wanaCCM bado wanadhani Dr. Slaa hakubaliki kwa watanzania
 
Hatulali mpaka kieleweke. Hongera wana Mbeya, Kura zote kwa Dr. wa ukweli Slaa.
 
Ukombozi umewadia! Chagua Dk.Slaa kwa maendeleo na Demokrasia ya kweli. Asante sana kwa picha hizo zenye mvuto!!!:smile-big:
 
Jamaa yangu mmoja kutoka Mbeya kaniambia sasa hivi kwamba tayari Kule wameanza kushereheka Mbunge wao Sugu. Anasema umati uliokuwapo haiwezekani yule wa CCM akashinda, na kuongeza kwamba mkutano ule wa CCM ulivunjika baada ya wengi kwenda kwa ule wa Slaa. Historia imeandikwa katika mji ule.
 
Left Wing said:
Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho
Mkuu LF a.k.a "oval office"
Na ndipo hapo wanapo haribu siku ya leo kuamkia kesho kuwapiga ndio wasiende kwa uchaguzi ni ngumu sana ni bora siku ya lalasalama munauchuna tuu
 
Back
Top Bottom