Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Ni kweli CCM wanaweza kuwa wanaiba kura lakini pia nafikiri mashabiki wetu ni watu waliokata tamaa, vijana wa vijiweni ambao wengi wao hawajajiandiksha.
mkuu, unajua asilimia kubwa sana ya wapiga kura wa Igunga hawakupiga kura last year, hatujui ni kwa nini, lets hope kwamba, CDM imeweza kuwapa matumaini na wajitokeze kupiga kura.

wale ambao hawakupiga mwaka jana ndio mtaji mkubwa wa CDM. tabia ya CCM ni kuhakikisha kwamba watu wachache sana wanajitokeza kupiga kura, wakiwa na uhakika kwamba, wanachama wao watakwenda kupiga kura.

Historia inaweza kuandikwa upya Igunga hapo kesho. Nina matumaini chanya.
 
Mungu akisema ndiyo'hakuna hawezae kusema hapana'
Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania
 
Chonde chonde wanaigunga nyie ndo wakuonyesha njia ya mabadiriko na mageuzi hapo tz mpe ndiyo CHADEMA na mpe hapana ccm na cuf Omukama abalinde abagumwe
 
Kwani slaa ilikuaje?alijaza watu kibao kiko wapi?nyie mna mbio sisi tunajua njia,CCM oyeeeeeeeeeee!
 
Kwani slaa ilikuaje?alijaza watu kibao kiko wapi?nyie mna mbio sisi tunajua njia,CCM oyeeeeeeeeeee!

unatafuta matusi wewe watu wapewe ban...shauri zako.kama huna la kuandika kaa na mkeo ndani msaidie kukata nyanya
 
mkuu, unajua asilimia kubwa sana ya wapiga kura wa Igunga hawakupiga kura last year, hatujui ni kwa nini, lets hope kwamba, CDM imeweza kuwapa matumaini na wajitokeze kupiga kura.

wale ambao hawakupiga mwaka jana ndio mtaji mkubwa wa CDM. tabia ya CCM ni kuhakikisha kwamba watu wachache sana wanajitokeza kupiga kura, wakiwa na uhakika kwamba, wanachama wao watakwenda kupiga kura.

Historia inaweza kuandikwa upya Igunga hapo kesho. Nina matumaini chanya.
Mimi pia nina matumaini makubwa na ushindi wa CHADEMA hiyo kesho. Lakini hofu yangu kubwa ni kwamba kati ya hao ambao hawakupiga kura na wakaamua kupiga sasa, wanaweza bado kuwa ni mashabiki wa CUF au CCM. Kwangu mimi, iwapo itashinda CUF bado litakuwa ni jambo jema. Cha msingi CCM isipate jimbo Igunga. I hate CCM.
 
Ni kweli CCM wanaweza kuwa wanaiba kura lakini pia nafikiri mashabiki wetu ni watu waliokata tamaa, vijana wa vijiweni ambao wengi wao hawajajiandiksha.

Lukolo, unakosea. Sio kwamba hawakujiiandikisha. Hawakuandikishwa, kwani Tume ya Uchaguzi haikufanya maboresho ya daftari la kudumu la wapigakura. Majina yaliyopo ni yale ya mwaka 2010, na vijana wengi ambao walikuwa hawajatimiza miaka 18 mwaka huo hawakuandikishwa. Hii mbinu chafu imetumika kuhakikisha kura za vijana (ambao hawataipigia kura CCM) zinapungua. Wangeandikishwa, ni dhahiri matokeo yangekuwa mabaya zaidi kwa CCM.

Tunaposema tunataka Tume Huru ya Uchaguzi, tuna maanisha hatutaki Tume kama hii inayoegemea upande mmoja wa CCM. Hii ni Tume ya Rais na CCM! Upo hapo?
 
Na magamba tunawaonya, ole wao wakiiba kura!!!!
Unajua imeshakuwa mazoea kwao.
Double F upo? Wapelekee habari hiyo.
 
Igunga kesho ndiyo siku ya kufanya maamuzi sahihi. Jamani Kashinye ashinde- hilo tu ndilo litabadilisha maisha yenu. Mungu aibariki CDM na Tz.
 
Nawatakia uchaguz mwema,hata kama uchaguz utaisha waendelee kugawa mahindi wanayosema ni ya NJAA
 
Regina Mwaleko wa clouds FM alikuwa akiripoti live kutoka Igunga na amesema kwamba mkutano wa CDM umejaa watu wengi sana na kupelekea CCM na CUF kukosa watu kwenye mikutano yao. Hivi sasa makamanda wanajitambulisha na kuhimiza wananchi wa Igunga kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania

Mzito Kabwela says THANK YOU for useful post
 
Mimi pia nina matumaini makubwa na ushindi wa CHADEMA hiyo kesho. Lakini hofu yangu kubwa ni kwamba kati ya hao ambao hawakupiga kura na wakaamua kupiga sasa, wanaweza bado kuwa ni mashabiki wa CUF au CCM. Kwangu mimi, iwapo itashinda CUF bado litakuwa ni jambo jema. Cha msingi CCM isipate jimbo Igunga. I hate CCM.

lukolo niko opposite kuliko cuf ishinde ni heri jimbo liende kokote kule.I hate hawa wanafiki.
 
Back
Top Bottom